naona kasikiliza ushauri wa mdee na zitto!huenda akapewa dhamana kama ditopile alivyopewa ingawa ilikua mada kesi
Sasa mbona Lulu ameshikiliwa kwa muda mrefu zaidi?
Au walisubiri Kanumba azikwe kwanza?
Hii inaweza kuwa mbaya sana kwa Lulu. Naamini kwenye passport yake (kama anayo!) haitaonesha umri tofauti na ule wa kwenye cheti cha kuzaliwa ama record nyingine rasmi! Kukiwa na tofauti itakuwa rahisi sana upande wa mashitaka kuonesha kuwa haaminiki.Ana miaka 17... Ile kujitanua kuwa ana miaka 18 ilikuwa ni mbwebwe za kimaisha!
kinachonishangaza ni hii kesi kwa mujibu wa redio one, imekuwa ni ya kificho sana... mwanzo walisema itakuwa mahakama ya kinondoni ila ghafla leo leo ikadilishwa kuwa kisutu ili kukwepa mapaparazi.. ambapo inasemekana lengo limefanikiwa maana mapaparazi walikuwa wachache sana. wengi waliwahi nafasi kinondoni.
17 years means she is a minor again means Kanumba was sex abuser! I am zipping my mouth!
Ki ukweli kanapikiwa maelezo ili Kanumba aonekana alikuwa anakabaka, ila kama ni kupigwa kameanza na miaka 6 so ni kazoefu kwa kwenda mbele, ila kwa kesi hii marehemu hana haki uwezekano wa kushinda kwa kigezo cha umri na kutokuwa/kukosa ushahidi wa kumsukuma inaweza ikamtoa.
Duh, kwani ndugu wa marhemu wanataka afungwe?