Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

miaka 17 toka lini na ile pati ya kufikisha miaka 18 ilikuwaje mwaka jana, na yale mahojiano ya kipindi cha salama jabiri,na kipindi cha take one au kwasababu ya kifo cha kanumba miaka inarudishwa nyuma???
alianza kumshauri kamsahuri vibaya

Aliongeza miaka ili kuhalalisha mahusiano ya kingono na Steven.
 
jamii inayomzunguka inapaswa kulaumiwa naamini kuna waliokuwa wanamtumia tu na hali wakijua huyo bado binti mdogo, akiwa anafanya vituko kama pichani hapo ilibidi watu kumwambia ukweli kuwa anaharibu future yake.
lakini kwa kuwa siku hizi tuko too individualistic tunajitia hatujali mambo yasiyo yetu basi wazazi wake ni wakulaumiwa na si kuonewa huruma hii ni effect ya malezi yao kwa binti huyu. huwezi kusema unampenda mtoto huku unamwacha anaharibika kiasi hiki nawe umekaa tu mwanangu staaar haya sasa yakowapi
nilishawahi kumwona lulu mlimani city nguo alizovaa na mashauzi aliyokuwa anafanya nilimuonea huruma maana alidhani anawafurahisha watu kumbe masikini watu walikuwa wanamsikitikia tu.
haya ndio malezi ya siku hizi wanayaita YA KIZUNGU
Duu!huyu dogo mbona ni noma kweli kweli!Aiseeeeeee....
 


Marehemu Kanumba alikuwa anafaidi jamani uongo mbaya mtoto amejaliwa mashallah
Haka katoto kalikua kanaenda choo kweli loh!ebu kaangalieni huo mbinuko wake hapo nyuma.
Yani kakivu tu hata kabla ya refa kupuliza kipyenga lazima upige la offside loh!
Ngoja nii-print hii picha niiweke ukutani ili niwe nalumangia kwa picha ya ukutani.
 
Kwa mujibu wa sheria mtu anatakiwa kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani kwa saa 24 tuu!.

Lengo la kumfikisha mahakamani ni kumsomea tuu sababu za yeye kushikiliwa na hatatakiwa kujibu chochote. Kama ana wakili makini, ni leo leo anapewa dhamana ingawa mahakama inaweza kumkatalia dhamana kwa hoja ya kuhofia usalama wake kwa sababu deceased ni public figure na kesi itaatract public interest hivyo Lulu atakuwa salama zaidi mikononi mwa wana usalama!.

Yaani umeelezea kama vile mwanasheria kumbe bogas tu!Vitabu gani vya sheria umefundishwa kuwa ubora wa mwanasheria unasaidia kupata dhamana katika murder case??????????????????????????????????
 
kasomewa mashtaka ya mauaji ya kukusudia.Karudishwa segerea kesi itasikilizwa tena baada ya wiki 2.
Zamu ya Polisi sasa kula utamu...
 
Msaniii ambaye amejizidishiwa umaarufu ndani na nje ya mipaka yetu hasa kufuatia kuhusishwa na kifo cha msanii nguri Kanumba, bibi Elizabeth Michael almaarufu kama LULU, amefikishwa leo mbele ya pirato pale mahakama ya Kisutu. Kwa mujibu wa mtoa habari, Lulu amesema ana miaka 17.. kesi imeahirishwa mpaka tarehe 23/4/2012..
Kama kuna mtu ana habari zaid ya hizi naomba atujuze kwa uzuri tu,, maana mi nimesikia ikiishia ishia..

Souce Radio One mchana huu.

Nawsilisha wakuu


Habari kamili bofya hapa: http://issamichuzi.blogspot.com/2012/04/breaking-nyuzzzzz-lulu-apandishwwa.html
 
  • Thanks
Reactions: SMU
17 years means she is a minor again means Kanumba was sex abuser! I am zipping my mouth!

Lakini vile vile ni kuwa LULU kasema alikuwa anaongea na mtu mwingine maarufu ambaye ni mpenzi wake pia, so the whole issue is a see-saw. Kwa kuwa LULU amewahi kutamka kupitia media kuwa amefikisha umri wa miaka 18 na record zipo nyingi tu, basi ni dhahiri kuwa hii kitu itakula mpaka kwa mama yake kuwa alikuwa ana mu-abuse mtoto kwa kumwacha adanganye umri ili kupata wanaume. Utetezi huu mi naona bado ni mapema sana kusema kama utamsaidia LULU.

Ila ni mwanzo wa kuanza kupoteza uaminifu kwa anachokisema LULU. Kwangu mimi sioni kama kuna masilahi yoyote kwa LULU kutiwa hatiani maana Kanumba hatarudi, he's gone bali ningeona kesi hii itumika kama reconciliation kwa jamii, LULU aseme kilichotokea kwa ukweli bila kuficha kitu na hapo humanity itachukua nafasi yake. Maana ikumbukwe kuwa ushahidi utakapoanza kusikilizwa hata maongezi ya simu yatahitajika kama ushahidi mahakamani na aliyekuwa anaongea na LULU ni lazima ajulikane.
 
Mhhhh..is it?Labda mimi sizijui sheria za nchi yangu,hivi mtu ili kupewa driving licence inabidi awe na umri gani?Kama kako 17 hilo gari wanalosema kalikuwa kanaendesha ilikuwa ni kwa leseni ya nchi gani?au hapa inamaanisha waliompa leseni na yeye mwenyewe wanakesi dhidi ya hili?Naipenda Tz,you can do what you want when you want to!​
 
Sasa baada ya msiba wa mpendwa wetu SK sasa mnafanya nini khs lulu kwani naye ni mwenzenu.Upendo na kujitoa kwani naye ni member wa bongo movie.
 
Nani alaumiwe sasa?

lulu+2.jpg

Hapa alikunywa viroba jogoo mxxer valuer za pakti.
 
miaka 17 toka lini na ile pati ya kufikisha miaka 18 ilikuwaje mwaka jana, na yale mahojiano ya kipindi cha salama jabiri,na kipindi cha take one au kwasababu ya kifo cha kanumba miaka inarudishwa nyuma???
alianza kumshauri kamsahuri vibaya

Na huo ndio mwanzo wa kuona kuwa anahusika moja kwa moja na kifo cha Kanumba!!
 
maskin Lulu mtoto mdogo kutembea na mibaba..naskia jana watu kidogo wavamie kituo cha polisi cha oysterbey baada ya maziko ya Kanumba,ikabidi ahamishiwe kituo kingine
 
wiki jana kuna watoto huko mwanza wenye umri wa mika 11 na 13 wamehukumiwa kwenda jela miaka 6.watot hao walimuu mtoto mwenzao kwa kumfunga kamba mikono na miguu kidha kumtundika juu ya mti..baada ya hapo vikaanza kumpiga mawe hadi kichwa kupasuka..

watoto hao walikuwa wanalipiza kisasi kwa kuwa kaka wa mtoto wa aliyeuawa alikimbia na gololi zao hawa watoto wawili wakati wanacheza...baada ya hapo hao watot wauwaji walimftilia huyo kaka kwao na hawakumkuta, wakati wanarudi ndipo walipokutana na mdogo wa huyu kaka (miaka 2) njiana na ndipo akafanyiwa unyama huo...

kwa huyu lulu kwanza kadanganya umri, nadhani anayemshauri amshauri vizuri, pili huku iko pale pale kama akikutwa na hatia
 
Ila hiyo juvenile court inaruhusu sexual abuse kwa minor? inawezekana yule mtoto ameadhirika kisaikolojia kutokana na kuwa na mahusiano akiwa na umri mdogo na ndio chanzo cha yeye kumpeleka kutenda kilichotokea. Lakini kwanini umma unamhukumu huyu binti kabla ya hukumu kutolewa?

Hukumu ni pamoja na kusema kuwa hana kosa, so hapa kuna hukumu mbili, yaani guilty or not guilty. Nafikiri tuiachie mahakama iamue LULU yupo upande gani badala ya sisi kuchukua upande na kuanza kutoana macho mtandaoni.
 
kwa mujibu wa habari zilizoenea mtaani ni kwamba kanumba yupo msukuleni..yaan ndo maneno yapo mtaani!
kuwa pale walizika mgomba na kanumba mwenyewe yupo msukuleni!
 
Back
Top Bottom