Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Msaniii ambaye amejizidishiwa umaarufu ndani na nje ya mipaka yetu hasa kufuatia kuhusishwa na kifo cha msanii nguri Kanumba, bibi Elizabeth Michael almaarufu kama LULU, amefikishwa leo mbele ya pirato pale mahakama ya Kisutu. Kwa mujibu wa mtoa habari, Lulu amesema ana miaka 17.. kesi imeahirishwa mpaka tarehe 23/4/2012..
Kama kuna mtu ana habari zaid ya hizi naomba atujuze kwa uzuri tu,, maana mi nimesikia ikiishia ishia..
Souce Radio One mchana huu.
Nawsilisha wakuu
Mashitaka yake ni ya kuua kwa kukusudia au bila kukusudia? Hivi murder case si mtuhumiwa ubaki kimya mpaka mahakama kuu? Kama ndio, iweje Lulu aongee mahakamani?