Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 821
miaka 17 toka lini na ile pati ya kufikisha miaka 18 ilikuwaje mwaka jana, na yale mahojiano ya kipindi cha salama jabiri,na kipindi cha take one au kwasababu ya kifo cha kanumba miaka inarudishwa nyuma???
alianza kumshauri kamsahuri vibaya
Weka picha
Duu!huyu dogo mbona ni noma kweli kweli!Aiseeeeeee....jamii inayomzunguka inapaswa kulaumiwa naamini kuna waliokuwa wanamtumia tu na hali wakijua huyo bado binti mdogo, akiwa anafanya vituko kama pichani hapo ilibidi watu kumwambia ukweli kuwa anaharibu future yake.
lakini kwa kuwa siku hizi tuko too individualistic tunajitia hatujali mambo yasiyo yetu basi wazazi wake ni wakulaumiwa na si kuonewa huruma hii ni effect ya malezi yao kwa binti huyu. huwezi kusema unampenda mtoto huku unamwacha anaharibika kiasi hiki nawe umekaa tu mwanangu staaar haya sasa yakowapi
nilishawahi kumwona lulu mlimani city nguo alizovaa na mashauzi aliyokuwa anafanya nilimuonea huruma maana alidhani anawafurahisha watu kumbe masikini watu walikuwa wanamsikitikia tu.
haya ndio malezi ya siku hizi wanayaita YA KIZUNGU
Haka katoto kalikua kanaenda choo kweli loh!ebu kaangalieni huo mbinuko wake hapo nyuma.
Kwa mujibu wa sheria mtu anatakiwa kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani kwa saa 24 tuu!.
Lengo la kumfikisha mahakamani ni kumsomea tuu sababu za yeye kushikiliwa na hatatakiwa kujibu chochote. Kama ana wakili makini, ni leo leo anapewa dhamana ingawa mahakama inaweza kumkatalia dhamana kwa hoja ya kuhofia usalama wake kwa sababu deceased ni public figure na kesi itaatract public interest hivyo Lulu atakuwa salama zaidi mikononi mwa wana usalama!.
Msaniii ambaye amejizidishiwa umaarufu ndani na nje ya mipaka yetu hasa kufuatia kuhusishwa na kifo cha msanii nguri Kanumba, bibi Elizabeth Michael almaarufu kama LULU, amefikishwa leo mbele ya pirato pale mahakama ya Kisutu. Kwa mujibu wa mtoa habari, Lulu amesema ana miaka 17.. kesi imeahirishwa mpaka tarehe 23/4/2012..
Kama kuna mtu ana habari zaid ya hizi naomba atujuze kwa uzuri tu,, maana mi nimesikia ikiishia ishia..
Souce Radio One mchana huu.
Nawsilisha wakuu
Sasa mbona Lulu ameshikiliwa kwa muda mrefu zaidi?
Au walisubiri Kanumba azikwe kwanza?
17 years means she is a minor again means Kanumba was sex abuser! I am zipping my mouth!
Mapaparazi leo wamekosa kuingiza siku kwa kukosa story muhimu ya kuweka heading kesho
Nani alaumiwe sasa?
miaka 17 toka lini na ile pati ya kufikisha miaka 18 ilikuwaje mwaka jana, na yale mahojiano ya kipindi cha salama jabiri,na kipindi cha take one au kwasababu ya kifo cha kanumba miaka inarudishwa nyuma???
alianza kumshauri kamsahuri vibaya
Ila hiyo juvenile court inaruhusu sexual abuse kwa minor? inawezekana yule mtoto ameadhirika kisaikolojia kutokana na kuwa na mahusiano akiwa na umri mdogo na ndio chanzo cha yeye kumpeleka kutenda kilichotokea. Lakini kwanini umma unamhukumu huyu binti kabla ya hukumu kutolewa?