Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

panga , nondo , kisu , mkuki hata filimbi ni vitu vya kawaida kukaa chumbani kwa mwanaume kwa ajili ya self defence
 

Mwelekeze huyo jamaa mkuu,hata sample video yao hii hapa Freemasons Ritual Video - YouTube
 
Nauliza kwa wanasheria wetu kwenye kesi Marehemu Kanumba hana makosa yoyote?

swali zuri sana, naye ana kosa la kujamiana na watoto, msiba huu ndio maana waziri Sofia Simba sijamwona.
 

inawezekana lulu alikataa kumpa unyumba maana marehemu Kanumba naye mmh
 

YOU ARE JOKING RIGHT?
Defence hiyo haisimami kwenye kesi kama hii ya kumtoa mtu roho kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Ingesimama kwenye kesi za ubakaji and the like.
Thank God wakili wa Lulu anajua line of defence ya kumtetea angalau kumnasua na adhabu kali ( mitigation) au hata kuweka shaka kwenye kesi ya prosecution.
Ila sijui kama kuna aliyesema au kutujuza Lulu kashtakiwa na kosa gani maana hili nalo ni muhimu kujua.
 
Kanumba amewahishwa kuzikwa, mimi napendekeza ashitakiwe kwa kuonyesha mfano mbaya kwa jamii yetu, ametuharibia sana watoto wetu, na hata jamii kwa idadi kubwa ya Watanzania na Africa Mashariki na ya Kati, tulimwamini na kumpa fursa na heshima ktk sebule na vyumbani mwetu,halafu imekuwa hivi,ametuangusha.
 
Nauliza kwa wanasheria wetu kwenye kesi Marehemu Kanumba hana makosa yoyote?

Mkuu marehemu huyo,hata kama ni kesi ilikua ni ya kufanya/kushiriki kimapenzi na Minor (Which ni ubakaji).But kesi iliyopo hapa ni ya mauaji
 
Sheria inasemaje kufanya mapenzi na mtoto wa miaka 16?

Kufanya ngono na under 18 ni kosa la jinai kufuatana na SOSPA 1998 now under Penal Code Cap 16 as ammended in 2002.
Marehemu hawezi kuhukumiwa akiwa keshakufa kwenye kesi za jinai. Kesi ya jinai hufa na mtu pale anapoaga dunia.
 
hata huyu binti ana gari? Dah lazima nipambane mwaka huu na mm nivute kasuzuki.....habari za kiitelijensia zinasema huyo mtu ni vicent kigosi.

hana gari huyo binti ila alikuwa anatumia gari aliyohongwa na kigogo mmoja wa Chama Cha Matusi ambaye ni mbunge toka mkoa wa jimbo mojawapo mkoani Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…