Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

ni nnauye wakuu!lakini tuache utani wakuu kale katoto kakijilengesha huwezi kukaacha
 
issue ya kanumba bado ipo tu?
Ndo noumer. kuanzia juzi humu kwenye jukwaa page ya kwanza hakukuwa na thread isiyomuusu Kanumba, na sasa imehamia kwa huyo Lulu...
Ikipanda Lulu, ikishuka Lulu, kaazi kweli kweli!
 
Eti ana miaka 17!! alienda kufanya nini saa sita za usiku kwa kanumba?

Hao wabunge wanapitisha michango kwa kumsaidia mama Lulu nawashangaa sana? Huyo mama kamlea mwanae vibaya sana. Mtoto wa miaka 17 kuwa nje ya home saa 6 za usiku? mama lulu ulikuwa wapi!! Ulishindwa kumkanya mwanao ngoja sasa ulimwengu umfunde.
Msaidieni na mama Kanumba, naye anahitaji msaada. Mtoto aliyokuwa anamtegemea ndio huyo kafa.
 
Huyo Elizabeth Kaganda siyo wakili wa Lulu bali ni wakili wa Serikali ( Public Prosecutor) kwa maana Lulu anasomewa shtaka tu.Hata Preliminary Inquiry (PI) itakayopelekea "committal" ili kesi ianze, haijasomwa.

Sasa Lulu kasomewa shitaka gani?
 
du inasemekana kuwa super star ambae jina lake linazidi kupanda chat kwa mda fupi ha hasa ktk kipind hiki cha easter,idadi ya wanaume inawiana kabisa na umri wake wa miaka 17 na list hiyo kama ifuatavyo ally kiba,bob junior,ray,idd azan,kanumba,capt komba,chen, na ww weka yako
 
ni nnauye wakuu!lakini tuache utani wakuu kale katoto kakijilengesha huwezi kukaacha
Nauye naye si angesubiri hadi arudi nyumbani badala ya kukimbizana na kugombea malaya?

Alitumia influence yake na sasa matokeo ndo haya, ufisadi kumbe wa aina nyingi sana!

Hii kali!Nape kumbe na yeye anakimbiza, itabidi asaidie polisi, nilimwona kwenye msiba wa Knumba msitari wa mbele kabisa.

Kumbe jamaa naye alikuwa anakatafuna hako?
 
mtajeni ndo maana ccm walikuwa wengi msibani katika hayo majina ya vibosile atakuwemo mmojawapo kwani nimeakikishiwa kweli alikuwepo msibani komba hakuwepo huyo tunajua ni pedeshee wake wa siku nyingi duh huyu mtoto nae anabeba?
 
duh kumbe ni nape???!!!jamani chadema wanalijua hilo najua polisi walivyowachakachuaji hiyo namba nape ataitumia tena...
 
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!

Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".

tehe tehe tehe duhh swaga yako tu,me hoi...
 
Sasa Lulu kasomewa shitaka gani?

Nimesikia kashtakiwa na makosa mawili - japo bila kuona charge sheet ni vigumu kusema kwa uhakika.
1. Kumpiga marehemu Kanumba na kitu kigumu/kizito kichwani hadi kumsababishia mtikisiko wa ubongo uliopelekea kifo
2. Kukimbia baada ya kusababisha kifo
 
hata mimi kama ningeambiwa na mke wangu kuwa mpenzi wake anayeongea nae ni nape lazima ningepatwa na brain concusion...manake kajamaa kanamisifa saana....
 
Ndo noumer. kuanzia juzi humu kwenye jukwaa page ya kwanza hakukuwa na thread isiyomuusu Kanumba, na sasa imehamia kwa huyo Lulu...
Ikipanda Lulu, ikishuka Lulu, kaazi kweli kweli!

NI kipindi tu.
yataisha soon na tutaendelea na maisha kama kawaida.
Uzuri wa watanzania ni uwezo wetu mkubwa wa kusahau kila jambo mapema.
 
Lulu1.jpg

Inasikitisha
 
NN,

Anaonekana bado anang'aa eeh! na tulishazoea mtu akiingia rumande hata siku mbili tu akitoka hafai.

Inawezekana kuna mabafu na vitandab vya kulalia, si unaona hata usafiri wamebadilishiwa siku hizi wanapandishwa kwenye mabasi badala ya malori (karandinga).

hii picha ya kitambo, nadhani alikuwa na kesi Mahakama ya Mwanzo ya Kinondoni
 
Kufanya ngono na under 18 ni kosa la jinai kufuatana na SOSPA 1998 now under Penal Code Cap 16 as ammended in 2002.
Marehemu hawezi kuhukumiwa akiwa keshakufa kwenye kesi za jinai. Kesi ya jinai hufa na mtu pale anapoaga dunia.
Mbona kuna wasichana wengi chini ya miaka 18 wameolewa na wazee na sheria hafuatilii. Wanawake wenye harakati hawaoni au? Lulu kama akikutwa na kosa ashtakiwe hana udogo wowote. Angekuwa mdogo angekuwa darasani.
 
Back
Top Bottom