Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo noumer. kuanzia juzi humu kwenye jukwaa page ya kwanza hakukuwa na thread isiyomuusu Kanumba, na sasa imehamia kwa huyo Lulu...issue ya kanumba bado ipo tu?
Huyo Elizabeth Kaganda siyo wakili wa Lulu bali ni wakili wa Serikali ( Public Prosecutor) kwa maana Lulu anasomewa shtaka tu.Hata Preliminary Inquiry (PI) itakayopelekea "committal" ili kesi ianze, haijasomwa.
Nauye naye si angesubiri hadi arudi nyumbani badala ya kukimbizana na kugombea malaya?ni nnauye wakuu!lakini tuache utani wakuu kale katoto kakijilengesha huwezi kukaacha
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!
Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".
Sasa Lulu kasomewa shitaka gani?
Ndo noumer. kuanzia juzi humu kwenye jukwaa page ya kwanza hakukuwa na thread isiyomuusu Kanumba, na sasa imehamia kwa huyo Lulu...
Ikipanda Lulu, ikishuka Lulu, kaazi kweli kweli!
NN,
Anaonekana bado anang'aa eeh! na tulishazoea mtu akiingia rumande hata siku mbili tu akitoka hafai.
Inawezekana kuna mabafu na vitandab vya kulalia, si unaona hata usafiri wamebadilishiwa siku hizi wanapandishwa kwenye mabasi badala ya malori (karandinga).
Mbona kuna wasichana wengi chini ya miaka 18 wameolewa na wazee na sheria hafuatilii. Wanawake wenye harakati hawaoni au? Lulu kama akikutwa na kosa ashtakiwe hana udogo wowote. Angekuwa mdogo angekuwa darasani.Kufanya ngono na under 18 ni kosa la jinai kufuatana na SOSPA 1998 now under Penal Code Cap 16 as ammended in 2002.
Marehemu hawezi kuhukumiwa akiwa keshakufa kwenye kesi za jinai. Kesi ya jinai hufa na mtu pale anapoaga dunia.