Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Tatizo msiba wa Kanumba ulitekwa na Masharobaro wa Dar hata ukiangalia ile kamati ya mazishi hakuna hata mzee mmoja.

Nilimsikia kwenye TV baba yake Kanumba anasema lazima Kanumba akazikwe kwa babu yake Mwanza mwenye jina la Kanumba akaonyesha na picha ukutani ya huyu babu yake Kanumba.

Siku ya pili kahojiawa anasema amewasiliana na mama Kanumba kasema watazika Dar sababu huko Mwanza mbali na Kanumba ana marafiki wengi wengine wanatoka nje ya nchi bora wazikie Dar tu.
 
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!

Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".
Hii nimeipenda sana!
 
Nimesikia kashtakiwa na makosa mawili - japo bila kuona charge sheet ni vigumu kusema kwa uhakika.
1. Kumpiga marehemu Kanumba na kitu kigumu/kizito kichwani hadi kumsababishia mtikisiko wa ubongo uliopelekea kifo
2. Kukimbia baada ya kusababisha kifo

Kumbe kampiga marehemu, mtoto muongo sana huyo. Mara ya kwanza alisema marehemu alianguka mwenyewe.
Afungwe tu ili akitoka awe na adabu.
 
hana gari huyo binti ila alikuwa anatumia gari aliyohongwa na kigogo mmoja wa Chama Cha Matusi ambaye ni mbunge toka mkoa wa jimbo mojawapo mkoani Tanga.

Makubwa mwengine!
Haya endelea kuteletea na wengine.
Inawezekana na Mzee wangu yumo!:shock:
 
Nimesikia kashtakiwa na makosa mawili - japo bila kuona charge sheet ni vigumu kusema kwa uhakika.
1. Kumpiga marehemu Kanumba na kitu kigumu/kizito kichwani hadi kumsababishia mtikisiko wa ubongo uliopelekea kifo
2. Kukimbia baada ya kusababisha kifo

Hmmm....kwa hiyo kawa charged na murder one?

Na hii itakuwa jury trial?

Anyway sijui prosecutors wana ushahidi gani lakini pasipo na eyewitness(es) sijui watawezaje ku establish kuwa kweli Lulu alimpiga marehemu na kitu kigumu kichwani na si kuanguka (ambako kunaweza kukawa kulisababishwa na vitu sababu kadhaa) na kugongesha kichwa chake kwenye kitu au sehemu ngumu kama sababu ya huo mtikisiko wa ubongo.

Na kama marehemu alipigwa na kitu kigumu kichwani ina maana kuna murder weapon. What is that weapon?

Hahahaaa hii kesi hii....anyway tusubiri tuone.
 
Kuna tetesi nimezisikia kuwa huyo mtu maarufu ni Nape Nnauye,polisi walipojaribu kufuatilia hiyo namba ya simu kwenye mamlaka ya mawasiliano wakakuta imesajiliwa kwa jina la NAPE NNAUYE ambaye ni katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha magamba.

Yaani nimecheka sana, maana naona hili swala sasa linakuwa la kisiasa zaidi!
 
ukisikia umbea usiokua na kikomo ndiyo huu

hapana wacha watu waseme then wewe na mimi tutaamua kuamini kuchukua au kuacha usijaji kabla hata hujapata full info
semeni jamani mimi sio muoga kusikia lolote.nitachambua baadae
 
Wamemkosea sana huyu mzee kwa nini wasifanye kama taratibu za kawaidi wampeleke kiwanjani wamuage halafu wampeleke kuzikwa kwao...Nyerere na Kanumba nani ana marafiki wengi kutoka nje ya nchi? Mbona alipelekwa kwao butiama baada ya kuagwa uwanja wa taifa.
 
Kumbe kampiga marehemu, mtoto muongo sana huyo. Mara ya kwanza alisema marehemu alianguka mwenyewe.
Afungwe tu ili akitoka awe na adabu.

Ushahidi wa yeye kumpiga marehemu ni nini/ uko wapi? Kwa sababu hakuna mashahidi walioshuhudia hicho kipigo.

Nina wasiwasi waendesha mashitaka wanaweza waka fabricate stori na kutaka kuaminisha watu ilhali hakuna ushahidi wa mashuhuda wa macho au wa video.
 
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!

Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".


....yeeezuuuuuu.....!!?
 
kuna tetesi kuwa lulu alikuwa anaongea na NAPE kwenye simu na alivyobanwa sana na marehemu kanumba akamwmbia kuwa alikuwa anazungumza na nape na nimpenzi wake wa kitambo je kweli?mwenye uhakika atufunulie hapa...wengine wanasema ni idd azan...[/B]
 
Sheria inasemaje kufanya mapenzi na mtoto wa miaka 16?

Hivi kanumba nae si ni kama sisi tunajua huyu mtoto ana miaka 18!? tumuache marehemu apumzike kwa amani. na lulu kama hausiki atendewe haki. .
 
swali la kujiuliza nani aliyotoa maelezo ya nini kilichokuwa kinaendelea au kilichotokea?
hii inaleta athari gani kwa sababu zilizotolewa kuhusu kilichomua kanumba?
je lulu mwenyewe kaeleza nini?
ushahidi wa vilivyokuwapo ndani ya chumba cha marehemu nani anajua?
polisi walikuja baada ya muda gani je hakuna aliyeharibu ushahidi wa awali.
lulu aliondokaje humo ndani na ni baada ya muda gani toka kifo cha marehemu?

taarifa bado hazija kaa vyema
haya ndio maswali ya kujiuliza
 
Back
Top Bottom