Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Hmmm....kwa hiyo kawa charged na murder one?

Na hii itakuwa jury trial?

Anyway sijui prosecutors wana ushahidi gani lakini pasipo na eyewitness(es) sijui watawezaje ku establish kuwa kweli Lulu alimpiga marehemu na kitu kigumu kichwani na si kuanguka (ambako kunaweza kukawa kulisababishwa na vitu sababu kadhaa) na kugongesha kichwa chake kwenye kitu au sehemu ngumu kama sababu ya huo mtikisiko wa ubongo.

Na kama marehemu alipigwa na kitu kigumu kichwani ina maana kuna murder weapon. What is that weapon?

Hahahaaa hii kesi hii....anyway tusubiri tuone.

Hapo ndipo patamu.Tutashuhudia umahiri wa experts watakaoonyesha tofauti ya kuanguka na kupigwa.Ila kwa vile miaka ya siku hizi jeshi letu la polisi limepitia reforms ku modernise the Force - investigation nayo imeboreshwa maana kila mara hawaishi kwenda kupata mafunzo kwa Obama. Tutegemee maajabu.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kumuhukumu Lulu, maana taarifa ni kuwa alipata mtikisiko wa ubongo na wala hakuwa jeraha lolote. Hata issue ya sumu haikuthibitishwa. Why pointing finger to young lady? Je nyinyi huko majumbani hamjakorofishana na wapenzi hadi kupigana na hata kuumizana? Je kweli Kanumba hajachangia loote katika kifo chake? No mimi bado nasubiri taarifa zaidi. Kwamba aliteleza akaanguka wakati akitaka kunipiga inaweza kuwa defence nzuri otherwise kuwe na ushaizi zaidi ya uliotolewa na madaktari.
Wed Apr 11, 05:14:46 PM EAT
 
hana gari huyo binti ila alikuwa anatumia gari aliyohongwa na kigogo mmoja wa Chama Cha Matusi ambaye ni mbunge toka mkoa wa jimbo mojawapo mkoani Tanga.

sasa umeongea nini? kuhongwa si kupewa! ina maana ni lake,! usiwe na hasira mkuu kama hujapata wa kukuhonga, jaribu bado muda, unaweza hongwa hata guta!
 
miaka 17 toka lini na ile pati ya kufikisha miaka 18 ilikuwaje mwaka jana, na yale mahojiano ya kipindi cha salama jabiri,na kipindi cha take one au kwasababu ya kifo cha kanumba miaka inarudishwa nyuma???
alianza kumshauri kamsahuri vibaya

Sio hivyo tu
1-Pia bila shaka ana driving licence ambayo kwa taratibu za nchi yetu sidhani kama anaweza patiwa mtu ambaye ni under 18yrs otherwise wahusika waliompatia driving license nao washtakiwe kwa kumpatia licence Mtoto.

2-Huduma ya kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa TZ sio ya kuaminika zaidi kwani Wakati wowote unaweza kukipata bila kujali taarifa unazozitoa ni za kweli au la.

Sio kuwa simpendi Binti wa watu ila ni bora haki ikatendeka, otherwise watu wataanza kuwatumia wadogozetu(mabinti) kufanya uhalifu kama kuuwa na mengineyo.

Kwa wanaosema Lulu (17yrs) alikuwa anategemewa na familia,hata marehemu pia alikuwa anategemewa pia.
 
hilo halina ubishi, ni jirani yangu kabisa! namuonaga kichuna wake mitaa ya home. hawa mastaa wetu ni sawa kabisa kwao kucheza ile michezo ya kula mbakishie baba! wanapasiana vibaya mno kili kiugonjwa chetu!
 
Akuna wa kudhibitisha kuwa alikusudia au la ndo maana wamemshitaki kwa mauwaji
 
Lol! Ati kamera zinapowaelekea!
Hivi wakaka nao wanazimiaga mshkaji akifariki eeh? Naona steve angepewa kombe
 
miaka 17 toka lini na ile pati ya kufikisha miaka 18 ilikuwaje mwaka jana, na yale mahojiano ya kipindi cha salama jabiri,na kipindi cha take one au kwasababu ya kifo cha kanumba miaka inarudishwa nyuma???
alianza kumshauri kamsahuri vibaya

Kalikua kamepigwa Stop kuingia night club kakafoji......maskini hakujua watu wengine tunatamani kuwa watoto
 
jamii inayomzunguka inapaswa kulaumiwa naamini kuna waliokuwa wanamtumia tu na hali wakijua huyo bado binti mdogo, akiwa anafanya vituko kama pichani hapo ilibidi watu kumwambia ukweli kuwa anaharibu future yake.
lakini kwa kuwa siku hizi tuko too individualistic tunajitia hatujali mambo yasiyo yetu basi wazazi wake ni wakulaumiwa na si kuonewa huruma hii ni effect ya malezi yao kwa binti huyu. huwezi kusema unampenda mtoto huku unamwacha anaharibika kiasi hiki nawe umekaa tu mwanangu staaar haya sasa yakowapi
nilishawahi kumwona lulu mlimani city nguo alizovaa na mashauzi aliyokuwa anafanya nilimuonea huruma maana alidhani anawafurahisha watu kumbe masikini watu walikuwa wanamsikitikia tu.
haya ndio malezi ya siku hizi wanayaita YA KIZUNGU

kweli kabisa...yaaani hii picha imeuvunja moyo wangu...humo ndani hakukuwa na watu wazima? walifikiria nini? walichukua hatua gani?
 
Back
Top Bottom