WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Hmmm....kwa hiyo kawa charged na murder one?
Na hii itakuwa jury trial?
Anyway sijui prosecutors wana ushahidi gani lakini pasipo na eyewitness(es) sijui watawezaje ku establish kuwa kweli Lulu alimpiga marehemu na kitu kigumu kichwani na si kuanguka (ambako kunaweza kukawa kulisababishwa na vitu sababu kadhaa) na kugongesha kichwa chake kwenye kitu au sehemu ngumu kama sababu ya huo mtikisiko wa ubongo.
Na kama marehemu alipigwa na kitu kigumu kichwani ina maana kuna murder weapon. What is that weapon?
Hahahaaa hii kesi hii....anyway tusubiri tuone.
Hapo ndipo patamu.Tutashuhudia umahiri wa experts watakaoonyesha tofauti ya kuanguka na kupigwa.Ila kwa vile miaka ya siku hizi jeshi letu la polisi limepitia reforms ku modernise the Force - investigation nayo imeboreshwa maana kila mara hawaishi kwenda kupata mafunzo kwa Obama. Tutegemee maajabu.