Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Sikilizeni Times FM....kuna muigizaji anaitwa Cooper anasimulia kilichojiri na inavyoelekea ni moja ya watu muhimu sana katika kesi inayomkabili Lulu.

Inasemekana Lulu alinaswa vibao na Kanumba (na alama alikuwa nazo). Jamaa pia anasema Lulu alikuwa na alama kwenye mapaja (zilizotokana na kipondo hicho)

Pia inasemekana Lulu alipatikana maeneo ya Bamaga usiku ule.

Ah, the plot thickens.
 
was just jokng,
kwanza hua siamin hayo mambo, ngoja 2subir atasemaje,
ila mi nimezoea 'mama ni mama'
baba ni baba am nt sure


Maadamu mama yake alishamtambulisha kuwa huyo ndiye baba yake, kwa hiyo baba ni baba, hapo kwenye rangi masikini wababa wana kazi, kwa hiyo huwa hawana uhakika na watoto wao.
 
picha limeanza kupitia Times fm...walomnyooshea binti vidole mtawehiwa tu!
 

Kesi ya mauaji haina dhamana ndugu
 
huyo mtu ni waziri na ndio aliyemuhonga ile nyumba ya mbezi kimara anayomiliki pamoja na kumpa maisha mazuri siku hizi.



dah hawa magamba jamani waowao wanatu-mwakyembe,,,waowao wanatu-ditopile,,,,waowao watu-lusinde.....eh sasa wanatu-kanumba!!! kwanini wanatumia kodi za wananchi maskini kuwatesa haohao wananchi na sisi tunanyamaza!!
 
Wakuu salaam,
Nimeshindwa kutoa pole mapema kwa msiba wa Kanumba kwa sababu bado nilikuwa natafakari nini cha kusema. Kwa ukweli mimi ni mmojawapo wa wapenzi wa Kanumba katika filamu na kwa ukweli nilikuwa naangalia filamu zake na JB tu! wengine hawakuwahi kunishawishi labda pastor Muamba akikemea mapepo.
Kilichonisukuma kutoa pole leo ni tafakuri kwamba tutapoteza wasanii wangapi kwa uzembe?
Nilikuwa na classmate wangu NELLY. alianza mziki hip hop akaishia kufa kwa kuchomwa kisu. Leo nimempoteza Kanumba, Mr Nice kafulia hadi hatamaniki, Wema yeye ni vurugu usiku na mchana, Sinta alijiuza hadi akachokwa na sasa Lulu yuko lupango! Wasanii wetu wanaamini saa zingine kwenye umaarufu wa kuleteana mabifu! Nashindwa kuelewa kama bifu la Kanumba na Lulu lililopelekea msiba lilikuwa la kujenga umaarufu au ni lakweli!
Shida kubwa ni wasanii wetu kutokuandaliwa kuwa ma -SUPERSTARS. hatuwaandai kukabiliana na changamoto za jamii, hatuwaandai kwenye maisha bila kujulikana hadi kujulikana na wakati mwingine unakuwa maarufu sana lakini mfukoni huna kitu. Hatuwaandai kuwa mfano tunawaandaa kuwa kero. Leo Matunzo mabovu ya lulu yamemfikisha hapo alipo. Lakini kosa sio la lulu bali ni kosa la jamii! Lulu aanaamini kwamba kuwa mzuri ni kutembea uchi, Kanumba aliamini kuwa Star ni kutembea na wanawake wazuri wote! Jana WEMA leo Lulu kesho...?
Majanga kwa wasanii hayataisha tusipojipanga tutawapoteza wengi ama kwa kifo ama kwa magereza!

MYTAKE: Inatakiwa ijengwe shule (AMA BAGAMOYO INGEWEZA KUWA MAHALI SAHIHI) KWA AJILI YA WASANII WETU KUANDALIWA. HUKO WANGEJENGWA KISAIKOLOJIA NA PENGINE FAMILIA MASKINI WALIZOTOKA ZINGEWEZA KUFAIDI MATUNDA YA WATOTO WAO.

POLENI SANA KWA MSIBA WATANZANIA WOTE.
 

Duh! Bora kuacha kabla huja'nza
 
Lol! Ati kamera zinapowaelekea!
Hivi wakaka nao wanazimiaga mshkaji akifariki eeh? Naona steve angepewa kombe

Ha..ha..ha Nakuunga mkono King'asti.Steve alizimia kwa mahesabu akiposikia nani anataka kubeba msalaba wa marehemu akainuka ghafula kwa jinsi anavyopenda kuwa mbele angalau aonekane b'se kimo chake kikwazo sana kwenye watu wengi.Anastahili kombe.
 
Kalikua kamepigwa Stop kuingia night club kakafoji......maskini hakujua watu wengine tunatamani kuwa watoto

kwa hiyo anavyeti viwili vya kuzaliwa?
Amepataje leseni ya kuendesha gari wakati ana miaka 16?
 
huyo Lulualienda kujichana huko chini. kama ana majeraha lini wamempeleka kutibiwa tangu wamshikilie?

Jamani!!!!!!!!!! Jamani!!!!!!!!!!!!!! Pole pole, wengine hapa tunaumia kwa kweli maana tunavibinti vyetu lika la huyu mtoto kwa hiyo tunakaona kama ni katoto ketu jamani, kama sio wako, unaweza kuwa na mdogo wako, mtoto wa jirani, mtoto wa mumeo/mkeo, pole pole na midomo jamani, yaani nilivyosoma hii nimehisi maumivu, yaani ajichane sehemu za siri yeye mwenyewe, hapana nooooooooo!!!!!!!!!!!! Sema tu labda hilo panga lilikuwa la marehemu kwa ajili ya kujilinda na majambazi. Pumzika kwa amani THE GREAT
 
Kaka umenikuna sana, nimependa sana uchambuzi wako. Nimeangalia sana zile juhudi walizofanya serikali nikawaza sana hivi kama juhudi hizi za kumzika Kanumba zingetumika na serikali yetu kuwaandaa hawa wasanii ili wafike katika kilele cha mafanikio huku wakiwa wanatunza maadili ya jamii yetu. Lakini kilichoniuma zaidi nikuiona serikali yetu ikitoka kipaumbele kusidia mazishi huku ikiwa imeshindwa kuwasaidia kabisa wasnii hata kufaidika na kazi zao licha ya kilio cha muda mrefu kuwa licha ya kujitaidi kutoa kazi nyingi bado ni maskini wa kutupwa. Serikali ifanye kila iwezaro siyo kuwazika wasanii kwa mbwembwe bali isimamie maadili yao na maslai yao.
 
Cha ajabu, karibu Wanawake wote walioanguka walikuwa wamevaa sikini taiti.....

walijua wataanguka????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…