Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Capt John Komba
huyo mtu ni waziri na ndio aliyemuhonga ile nyumba ya mbezi kimara anayomiliki pamoja na kumpa maisha mazuri siku hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Capt John Komba
Kweli ilikuwa ni maigizo
was just jokng,
kwanza hua siamin hayo mambo, ngoja 2subir atasemaje,
ila mi nimezoea 'mama ni mama'
baba ni baba am nt sure
picha limeanza kupitia Times fm...walomnyooshea binti vidole mtawehiwa tu!
Kwa mujibu wa sheria mtu anatakiwa kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani kwa saa 24 tuu!.
Lengo la kumfikisha mahakamani ni kumsomea tuu sababu za yeye kushikiliwa na hatatakiwa kujibu chochote. Kama ana wakili makini, ni leo leo anapewa dhamana ingawa mahakama inaweza kumkatalia dhamana kwa hoja ya kuhofia usalama wake kwa sababu deceased ni public figure na kesi itaatract public interest hivyo Lulu atakuwa salama zaidi mikononi mwa wana usalama!.
huyo mtu ni waziri na ndio aliyemuhonga ile nyumba ya mbezi kimara anayomiliki pamoja na kumpa maisha mazuri siku hizi.
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!
Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".
watam gag nani TZ?
Lol! Ati kamera zinapowaelekea!
Hivi wakaka nao wanazimiaga mshkaji akifariki eeh? Naona steve angepewa kombe
Kalikua kamepigwa Stop kuingia night club kakafoji......maskini hakujua watu wengine tunatamani kuwa watoto
mh? mengi yatasemwa ila ukweli utajulikana tu damu ya m2 aipotei hivi hivi
huyo Lulualienda kujichana huko chini. kama ana majeraha lini wamempeleka kutibiwa tangu wamshikilie?