Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
Jamani huyu mtoto hana baba wala mama? Alidondoshwa tu duniani na Mungu? Kama baba na mama wapo basi washitakiwe kwa child abuse. Sasa alikuwa anadanganya umri ili kuwahi mambo ya watu wazima!! Wasanii wanaweza kutengeneza filamu kamambe juu ya stori ya binti huyu.:disapointed:
lulu be serious, huwez ukatangaza umri wa miaka 18 kwenye vyombo vya habari halafu ukaukana umri huo kabla ya mwaka kupita. unless wewe siyo mkweli, na kama ndivyo tusiumize vichwa kwani jibu tunalo la nini kilichomuua kanumba. Lakini pia wewe ni kijana mchanga sana ambaye ndo kwanza umeuacha umri wa utoto punde tu, siyo jambo zuri kuwa dada mahakama au balozi wa selo. Sifa ya mwanamke ni utulivu na upole. Uliza vizuri wanawake wengi wamezeeka pasi kupaona polisi lakini wewe ni mara ya pili hii tena ukiwa na umri mdogo sana sasa ndugu ukifika miaka 50 utakuwa umehudhuria polisi au gereza mara ngapi?
Jamani huyu mtoto hana baba wala mama? Alidondoshwa tu duniani na Mungu? Kama baba na mama wapo basi washitakiwe kwa child abuse. Sasa alikuwa anadanganya umri ili kuwahi mambo ya watu wazima!!
inaonyesha kuwa wamesahau wajibu wao na hii iwe fundisho kwa wazazi wote. huwez baba au mama mkalala ndani mishale ya saa 7 usiku na mtoto wenu hayupo ndani. sijui hii ndio staili ya "asiyefunzwa na mamaye dunia itamfunza"
Bora umemwambia yangeanza mengine!
jaman yasije yakahama kwa lulu yakaja kwa huyu jamaa maana wabongo kwakutengeneza story hawajambo
inaonyesha kuwa wamesahau wajibu wao na hii iwe fundisho kwa wazazi wote. huwez baba au mama mkalala ndani mishale ya saa 7 usiku na mtoto wenu hayupo ndani. sijui hii ndio staili ya "asiyefunzwa na mamaye dunia itamfunza"
Acha akutane na rungu la sheria litamkuza,na huko jela hakuna kuvaa vimini sijui kama atakuwa amezoea magauni marefu jamaniiii...Atajuta kilichompalake kwa marehemu siku hiyo...Angekoj*a akalale..!!
nadhani tunamhukumu lulu mapema mno. ni kweli baadhi ya vitendo vyake havina staha lakini tusishabikie matatizo yake au kusema kayataka mwenyewe. Hapa tz, ukiwa mtu wa mwisho kuongea na marehemu unapata matatizo ya kisheria na kupewa kesi hata kama alikufa natural death. Tusubirie ushahidi zaidi hasa wa kitabibu kabla ya kumcondemn lulu.