Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
Jamani huyu mtoto hana baba wala mama? Alidondoshwa tu duniani na Mungu? Kama baba na mama wapo basi washitakiwe kwa child abuse. Sasa alikuwa anadanganya umri ili kuwahi mambo ya watu wazima!! Wasanii wanaweza kutengeneza filamu kamambe juu ya stori ya binti huyu.:disapointed:
Na kweli maana hii stori yake ni ya kipekee kabisa.