Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Jamani huyu mtoto hana baba wala mama? Alidondoshwa tu duniani na Mungu? Kama baba na mama wapo basi washitakiwe kwa child abuse. Sasa alikuwa anadanganya umri ili kuwahi mambo ya watu wazima!! Wasanii wanaweza kutengeneza filamu kamambe juu ya stori ya binti huyu.:disapointed:

Na kweli maana hii stori yake ni ya kipekee kabisa.
 
lulu be serious, huwez ukatangaza umri wa miaka 18 kwenye vyombo vya habari halafu ukaukana umri huo kabla ya mwaka kupita. unless wewe siyo mkweli, na kama ndivyo tusiumize vichwa kwani jibu tunalo la nini kilichomuua kanumba. Lakini pia wewe ni kijana mchanga sana ambaye ndo kwanza umeuacha umri wa utoto punde tu, siyo jambo zuri kuwa dada mahakama au balozi wa selo. Sifa ya mwanamke ni utulivu na upole. Uliza vizuri wanawake wengi wamezeeka pasi kupaona polisi lakini wewe ni mara ya pili hii tena ukiwa na umri mdogo sana sasa ndugu ukifika miaka 50 utakuwa umehudhuria polisi au gereza mara ngapi?

Duh! Kumbe hii ni mara yake ya pili? Mara ya kwanza ilikuwa ni lini wangu?
 
Jamani huyu mtoto hana baba wala mama? Alidondoshwa tu duniani na Mungu? Kama baba na mama wapo basi washitakiwe kwa child abuse. Sasa alikuwa anadanganya umri ili kuwahi mambo ya watu wazima!!

inaonyesha kuwa wamesahau wajibu wao na hii iwe fundisho kwa wazazi wote. huwez baba au mama mkalala ndani mishale ya saa 7 usiku na mtoto wenu hayupo ndani. sijui hii ndio staili ya "asiyefunzwa na mamaye dunia itamfunza"
 
mara ya kwanza alimtukana mtu na akapelekwa polisi wewe hujaona picha zake kwenye blog? huyu binti anahtaji maombi kwa kweli
 
naombeni kama kuna mwenye kuweza kunipa ramani ya kuonana na wazazi wake jamani nafikiri nahtaji kuongea nao juu ya malezi manake wameshindwa kazi. lakini huwa nasikia kuwa huko selo kuna waalimu wazuri kweli kwahiyo pengine watamfundisha. unajua bwana ukiyawahi mambo ya utu uzima mapema lazima ukugharimu.
 
nadhani tunamhukumu lulu mapema mno. ni kweli baadhi ya vitendo vyake havina staha lakini tusishabikie matatizo yake au kusema kayataka mwenyewe. Hapa tz, ukiwa mtu wa mwisho kuongea na marehemu unapata matatizo ya kisheria na kupewa kesi hata kama alikufa natural death. Tusubirie ushahidi zaidi hasa wa kitabibu kabla ya kumcondemn lulu.
 
Updates:

Kwa maoni yangu, suala la Lulu limekuzwa na mambo mawili makuu.

1.0 Siasa. Kifo cha Kanumba kimechukuliwa kisiasa zaidi na hivyo hata mtuhumiwa kuchukuliwa kisiasa zaidi. Ushahidi wa hili ni utitiri wa viongozi waliohudhuria msiba hadi mazishi. Hali hiyo automatically ime draw tension kubwa kwa mtuhumiwa.

2.0 Umaarufu wa marehemu Kanumba mwenyewe. Kanumba alikuwa ni mtu maarufu na umaarufu wake umethibitika kipindi alipokufa.

Kwa kuwa Lulu katuhumiwa kuua mtu maarufu basi na kesi yake imekuwa maarufu.

Nimejaribu kupenya penya hadi huko aliko lakini kidogo jela hawajampa umaarufu au upekee kama walivyofanya polisi. Hii nadhani inasababishwa na muundo wa Magereza.

Bado haijaniingia akilini iwaje Jeshi la Polisi lifanye hadaa kwa tukio la kupelekwa mahakamani msaani Lulu?

Waandishi wengi wa habari mpaka sasa hawajui mantiki ya Jeshi la Polisi kufanya usiri huo. Kwanza waliambiwa mahakama ingekuwa Kinondoni na wengine walitangulia huko, kisha habari zikaja kuwa mahakama ni Kisutu!!!

Alipofika hakukaa mahabusu kama ilivyo ada bali alipanda moja kwa moja kizimbani na kusomewa shitaka lake la mauaji.

Baada ya kusomewa na kutakiwa kutojibu lolote aliondoshwa kwa usiri mkubwa sana na gari lililo full tinted!!!!!

Nataumaini mahabusu gereza Segerea hakutakuwa na kama haya ya polisi.


Maswali ya msingi ya kujiuliza,

1.0 Nani yupo nyuma ya Lulu katika yote hayo niyoyaeleza hapo juu?

2.0 Ni ustaa tu?

3.0 Ni kwa usalama wake tu yamepelekea yote hayo?

4.0 Au ni kunuonea huruma kutokana na mkasa uliompata? Na ikiwa hivyo serikali imepata wapi huruma hiyo?


Nawakilisha
 
jamani watanzania huwa tunawaza nini??
kama hakuja na unajua walkua ni marafiki jua fika alkua na sababu!
 
Usijali Comrade watayaweka wazi tu muda si mrefu mbona Lulu na Marehemu walikuwa wakikana kuwa na mahusiano ya kimapenzi lakini umeonaje sasa vuta subira kidooooogo yatakuwa uchi tu
 
Acha akutane na rungu la sheria litamkuza,na huko jela hakuna kuvaa vimini sijui kama atakuwa amezoea magauni marefu jamaniiii...Atajuta kilichompalake kwa marehemu siku hiyo...Angekoj*a akalale..!!
 
inaonyesha kuwa wamesahau wajibu wao na hii iwe fundisho kwa wazazi wote. huwez baba au mama mkalala ndani mishale ya saa 7 usiku na mtoto wenu hayupo ndani. sijui hii ndio staili ya "asiyefunzwa na mamaye dunia itamfunza"

Ndio maana yake mkuu. Inaelekea wazazi wake wameshachoshwa na tabia za mtoto huyu maana tokea sakata hili lianze sijasikia hata mzazi mmoja aliyejitokeza hata ndugu nao hawaonekani.
 
Acha akutane na rungu la sheria litamkuza,na huko jela hakuna kuvaa vimini sijui kama atakuwa amezoea magauni marefu jamaniiii...Atajuta kilichompalake kwa marehemu siku hiyo...Angekoj*a akalale..!!

Alisema eti akivaa nguo fupi anawashwa, sasa naona huko aliko atawashwa hadi ngozi ichanike maana huko hakuna kuvaa vimini.
 
nadhani tunamhukumu lulu mapema mno. ni kweli baadhi ya vitendo vyake havina staha lakini tusishabikie matatizo yake au kusema kayataka mwenyewe. Hapa tz, ukiwa mtu wa mwisho kuongea na marehemu unapata matatizo ya kisheria na kupewa kesi hata kama alikufa natural death. Tusubirie ushahidi zaidi hasa wa kitabibu kabla ya kumcondemn lulu.

Hakuna aliyemhukumu mkuu na ndip maana tumeacha sheria ifuate mkondo wake.
 
Au kakasirika SK kamwibia Lulu wake? Inawezekana ndio alikua anaongea nae usiku ule
hivi ile simu ya lulu iko polisi au?
 
Back
Top Bottom