Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
naombeni kama kuna mwenye kuweza kunipa ramani ya kuonana na wazazi wake jamani nafikiri nahtaji kuongea nao juu ya malezi manake wameshindwa kazi. lakini huwa nasikia kuwa huko selo kuna waalimu wazuri kweli kwahiyo pengine watamfundisha. unajua bwana ukiyawahi mambo ya utu uzima mapema lazima ukugharimu.
mara ya kwanza alimtukana mtu na akapelekwa polisi wewe hujaona picha zake kwenye blog? huyu binti anahtaji maombi kwa kweli
Usijali Comrade watayaweka wazi tu muda si mrefu mbona Lulu na Marehemu walikuwa wakikana kuwa na mahusiano ya kimapenzi lakini umeonaje sasa vuta subira kidooooogo yatakuwa uchi tu
HIVI UYU MTOTO ANASOMA SHULE GANI TUJARIBU KUCHECK NA MAENDELEO YAKE YA SHULE KAMA NI 17yr HOPE ATAKUWA FORM FOUR
Mbona hukuuliza kwa nini Nelson Mandera hakuja kumzika J.K Nyerere?Wadau ni kwa nini Ramsey Nouh,business associate na close friend wa Marehemu Kanumba kashindwa kuja kumzika rafki yake?
ukiwa forsaken na wazazi ina maanisha jirudi na uombe radhi. sikujua kama alifikia hatua hii.Ndio maana yake mkuu. Inaelekea wazazi wake wameshachoshwa na tabia za mtoto huyu maana tokea sakata hili lianze sijasikia hata mzazi mmoja aliyejitokeza hata ndugu nao hawaonekani.
magazeti yalisema kanumba alimuita waongee. of course kwenda kwa mtu saa 9 usiku si busara but who knows labda it was urgentAcha akutane na rungu la sheria litamkuza,na huko jela hakuna kuvaa vimini sijui kama atakuwa amezoea magauni marefu jamaniiii...Atajuta kilichompalake kwa marehemu siku hiyo...Angekoj*a akalale..!!
comment nyingi ziko 'lulu kayataka mwenyewe, atakiona cha mtema kuni'. Inaasharia watu tumeshamhukumu kabla ya muda. tuvute subira na tuone itakuwaje, bado sioni sababu ya lulu kushtakiwa. I agree tuache sheria ifuate mkondo wake lakini pia tusichekelee.Hakuna aliyemhukumu mkuu na ndip maana tumeacha sheria ifuate mkondo wake.
Hivi ni kweli lulu amepelekwa segerea? Nina wasi wasi hapa!! Wenzake wanaenda na kalandinga lakini yeye amepelekwa na Suzuki Grande(Lenye namba feki,kumbe ni la polisi) tena ndani full kiyoyozi,kunani?
nilisikia alipata 3 ya penati, ila sikumbuki thread ipi. Ilikuwepo zamani kidogo.hivi huna habari mkuu??? Nasikia amekula zero.
Hakuna siri Lulu atayamwaga hadharani
Jela jeraha bana. Mbwembwe zake zote zitaishia pale Segadansi, hata kama ukipata prevelage still haitawork.
Kama polisi hawatakuwa makini na uendeahaji wa kesi hii inaweza kuleta mgomo jela.
ukiwa forsaken na wazazi ina maanisha jirudi na uombe radhi. sikujua kama alifikia hatua hii.
Nina swali, hivi ndie huyu aliyesema 'mambo yake ya chumbani ni mazito' nakumbuka gazeti moja lilisema hiyo habari zamani, au ni lulu mwingine?