Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

naombeni kama kuna mwenye kuweza kunipa ramani ya kuonana na wazazi wake jamani nafikiri nahtaji kuongea nao juu ya malezi manake wameshindwa kazi. lakini huwa nasikia kuwa huko selo kuna waalimu wazuri kweli kwahiyo pengine watamfundisha. unajua bwana ukiyawahi mambo ya utu uzima mapema lazima ukugharimu.

Ngoja nijaribu kuwatafuta nikiwapata nitakushitua.
 
Usijali Comrade watayaweka wazi tu muda si mrefu mbona Lulu na Marehemu walikuwa wakikana kuwa na mahusiano ya kimapenzi lakini umeonaje sasa vuta subira kidooooogo yatakuwa uchi tu

Naona kamanda wa mkoa maalumu Kinondoni anajitetea kuwa suala hilo lipo kwa mwanasheria wa serikali DPP Feleshi, sasa sijui mengine yanakuwa wapi?

Kuna kitu hapa siyo bure.
 
HIVI UYU MTOTO ANASOMA SHULE GANI TUJARIBU KUCHECK NA MAENDELEO YAKE YA SHULE KAMA NI 17yr HOPE ATAKUWA FORM FOUR
 
Lulu ameanza maisha mapya segerea leo mara baada ya kushuka kizimbani aliposomewa shtaka la mauaji ya SK...da maskn, no makeup, no mashauzi, no nyodo, no disco, no biere, no kanumba....akitoka marafiki zake watakuwa kakobe, mwingira, rwakatare, TB joshua......ataheshmu wakubwa mara elfu's
 
hallow couldnt that be an african style?

we love showy life..this is our nature sorry to say most of us we are like them!!

kuna watanzania wangapi wanamiliki simu za laki sita na hawezi kulipa ada ya mtoto ya elfu hamsini?/
mifano iko sana tu!!

sasa hawa maskini (wasanii) wanafanya kweli!
 
Hivi ni kweli lulu amepelekwa segerea? Nina wasi wasi hapa!! Wenzake wanaenda na kalandinga lakini yeye amepelekwa na Suzuki Grande(Lenye namba feki,kumbe ni la polisi) tena ndani full kiyoyozi,kunani?
 
Ndio maana yake mkuu. Inaelekea wazazi wake wameshachoshwa na tabia za mtoto huyu maana tokea sakata hili lianze sijasikia hata mzazi mmoja aliyejitokeza hata ndugu nao hawaonekani.
ukiwa forsaken na wazazi ina maanisha jirudi na uombe radhi. sikujua kama alifikia hatua hii.
Nina swali, hivi ndie huyu aliyesema 'mambo yake ya chumbani ni mazito' nakumbuka gazeti moja lilisema hiyo habari zamani, au ni lulu mwingine?

Acha akutane na rungu la sheria litamkuza,na huko jela hakuna kuvaa vimini sijui kama atakuwa amezoea magauni marefu jamaniiii...Atajuta kilichompalake kwa marehemu siku hiyo...Angekoj*a akalale..!!
magazeti yalisema kanumba alimuita waongee. of course kwenda kwa mtu saa 9 usiku si busara but who knows labda it was urgent

Hakuna aliyemhukumu mkuu na ndip maana tumeacha sheria ifuate mkondo wake.
comment nyingi ziko 'lulu kayataka mwenyewe, atakiona cha mtema kuni'. Inaasharia watu tumeshamhukumu kabla ya muda. tuvute subira na tuone itakuwaje, bado sioni sababu ya lulu kushtakiwa. I agree tuache sheria ifuate mkondo wake lakini pia tusichekelee.
 
Hivi ni kweli lulu amepelekwa segerea? Nina wasi wasi hapa!! Wenzake wanaenda na kalandinga lakini yeye amepelekwa na Suzuki Grande(Lenye namba feki,kumbe ni la polisi) tena ndani full kiyoyozi,kunani?

Jela jeraha bana. Mbwembwe zake zote zitaishia pale Segadansi, hata kama ukipata prevelage still haitawork.

Kama polisi hawatakuwa makini na uendeahaji wa kesi hii inaweza kuleta mgomo jela.
 
Jela jeraha bana. Mbwembwe zake zote zitaishia pale Segadansi, hata kama ukipata prevelage still haitawork.

Kama polisi hawatakuwa makini na uendeahaji wa kesi hii inaweza kuleta mgomo jela.

"Chechere Segedansi nondo gereza inside ndete lupango kunapoteketeza,wanaokwenda jela sio wote wenye hatia wengine wanakwenda kwa kesi za kusingiziwa aisee afande gewe tulibambike kesi tupate kidogo kaulajii weeeeee"---Inspector Haroun Babuuuuuu!
 
ukiwa forsaken na wazazi ina maanisha jirudi na uombe radhi. sikujua kama alifikia hatua hii.
Nina swali, hivi ndie huyu aliyesema 'mambo yake ya chumbani ni mazito' nakumbuka gazeti moja lilisema hiyo habari zamani, au ni lulu mwingine?

Ndie huyu huyu wala sio mwingine.
 
Back
Top Bottom