Juan San Roman
Member
- Mar 13, 2012
- 52
- 12
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!
Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".
kwani Kenya Kesi ya mauaji in ina dhamana?
Kila ja;mbo hutokea kwa sababu
Steven Kanumba kafakamia kilevi kikali cha "Jack Daniels", na bila shaka walevi wengi waliokubuhu wanaheshimu tofauti kati ya bia na vilevi vikali kama whisky ambavyo havikawii kumfanya mwanaume rijali wa umri wa Kanumba kuwa kama "mdoli" kwa urahisi sana hadi kupoteza sense of balance akitembea kwa hatua zake mwenyewe, achilia mbali kupoteza ufahamu na balance kwenye mazingira ya hamaki aka agression kwa mwanaume aliyelewa kilevi cha aina ya "Jack Daniels". Kwa hili naomba huyo "mkemia wa serikali" atoe toxicology report inayoweka wazi ni kwa kiwango gani haswa Kanumba alikuwa amelewa.
Ama baada ya kusema hayo, jee, kama ingekuwa Kanumba ndiyo kasababisha kifo cha "Lulu", hisia za Watanzania zingekuwa tofauti kwa kiwango gani, maana ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya Wanawake dunia nzima wanapoteza maisha mikononi mwa Wanaume, na ni nadra kwa ukweli huu kuwa kinyume.
Nina hakika Mh. A/H. Mdee na mwenzake wasingejitokeza kumtetea Kanumba(R.I.P), hapa nadhani wameonyesha udhaufu wa hali ya juu. Kwamba wako radhi haki isitendeke kisa ni mwenzetu.
mimi napenda niseme kitu kimoja, angalia misiba yote au ceremonial zote za picha za freemasons, utaona wamejifunga prons, angalia hiyo picha uliyo weka wote waliokaa kuna kitu kama kitambaa cheupe mapajani, hiyo inaiywa pron imetengenezwa kwa ngozi ya kondoo na ni kitu muhimu kwao.
Kwenye msiba wa kanumba hakukuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa amevaa pron jambo ambalo ni wazi haukuwa na element za ki freemasons.
mimi alinishangaza hapa.......
TULIOSAPOTI MPAKA KITUO HIKI KUFIKIA HAPA KILIPO SOMA MAJINA HAPO JUU JINA LANGU LIPO HAPO,KUSEMA UKWELI INAPOKUJA MAMBO YA KUSAIDIA JAMII NAJITAIDI KUTOA NINACHOKUA NACHO MAANA HAPA HUKUMBUKA MANENO YA MWANDISHI ALBERT PINE..''"What we do for ourselves dies with us. What we do for others and the world remains and is immortal
hayo maneno yanamuumbua mwenyewe
Reast In Peace Mbakaji[/QUOTE
IMEANDIKWA USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA WEWE!MAANA HUKUMU UHUKUMUYO NDIYO ILE ILE UTAKAYO HUKUMIWA, NA KIPIMO UPIMIACHO NDIYO KILE KILE UTAPIMIWA!
Unamwita Mbakaji, alimbaka nani? Ukiulizwa unao ushahidi?
R.I.P. Kijana mwenzetu.