Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Halafu kilichowafanya mprove anakunywa ni kipi? this is total ****! mi mwenyewe kwa unywaji wangu siwezi sema nakunywa naonja! hakuwa mpenzi wa pombe but may be siku mojamoja akiamua anakunywa yani mnataka kuniambia kwa nyie wanywaji kweli unaweza kaa mahali bila kunywa? sasa kwa mtu asiyekunywa inawezekana! kuona chupa moja ya mvinyo chumbani kwa kanumba haimaanishi alikuwa mnywaji! cammon pple!
 
Simple observation!

Picha mbili za mwisho chini: karibu wote ni wanawake!
Cinema zake zilipendwa sana na wanawake???

Just thinking aloud
 
Pole Hossam kwa uelewa wako mdogo wa kesi za kichunguzi...

Itakuchukua muda mrefu sana kuyaelewa haya mambo,na hasa kwa kuwa una huzuni kwa msanii uliyempenda na kwa bahati mbaya amefariki wakati akiwa na msanii unayemchukia sana...
 
hili ni tamko la BAVICHA tuletee na la UVCCM.
siyo kz ya john heche.subiri wamagamba wenzio bado leaders wakitoka huko watapitia ulipo watakutaarifu,waeleze upo wapi wakufuate.
 
kUnA pics mbili zimefanana na za preta mnaanza kunipa mashaka sasa
 
Hata kama Lulu ana mimba yeye mwenyewe Lulu hawezi kujuwa hiyo mimba ni ya nani na aliipata lini!!.....kabinti ka miaka 18 a.k.a Wakubwa show ana mabwana si chini ya 20 sasa hapo atajuwa hiyo mimba ni ya nani? hivi watu hawajipendi kweli yaani mcharuko kama Lulu na bado mtu unaingia peku peku bila Condom!! is too bad.
 
Jaman naomba tumheshim marehemu.. Cha msingi ni kila mtu kujiuliza ikitokea umekufa utajibu nini kwa mwenyezi mungu.
 
katika hali isiyo ya kawaida kwa wale ambao wamesikia wimbo wa kanumba.katika wimbo ule kasema akifa watu mtasema nani pengo ataliziba.maadui wake watabeba jeneza lake. yeye ni mmoja hawezi pigana na watu 1000. je hii alijua atakufa?
 
Back
Top Bottom