Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Ndio maana sisi akina baba tukikuta binti ana mimba tunatandika mama aseme yote hadharani!
Na always it proves positive!
 
Mbona mnatuchanganyia habari??Amefika au hajafika lipi tuelewe??maana mwingine anasema hajafika ila mzee shibuda ndio amemuwakilisha mwingine anasema amefika na jana alikuwa anahojiwa so neno gani tukubali hapa!
anafika leo jion...kwa sorce ya mwananchi....mengine mimi sijui
 
nakubaliana na mkuu Mamndenyi hapo juu,
mtoto wa miaka 18 yupo free ile mbaya halafu mama awe hajui haiwezekani.
 
Watu bwana mpaka mnaanzisha thread hivi mnamuona Wema ni mzima na kichwani anazo??Me nashangaa sana mkiwa mnamfatilia huyu dada
 
Kweli marehemu alikua The Great! Na saluti pia alipewa R.I.P The Great Kanumba!


 
Bila shaka una visasi tu mkuu!Haijulikani km kweli yeye ndo kamuuwa Kanumba!So dont put dat type of comment against her!Watafute kilicho muuwa jamaa sio tu kumretain huyo mtoto!Kanumba kuna kitu alikula au kunywa before he could fall down ndo maana akatoa povu mkuu!Vinginevyo tuache uchunguzi ufanyike n den sheria ichukue mkondo wk!
 
Mjenda sijui una umri gani ndugu yangu unashindwa kufanya hata analysis, well Kanumba amefariki sawa imeumiza watu wengi sawa, lakin hai maanishi mtuhumiwa namba mmoja asipewe msaada. Mim mwenyewe ninge wish kumsaidia lulu kwasababu najua possibility ya lulu kuuwawa ni ndogo kuliko posibiility ya lulu kujiua ni mtoto na ana akili za kitoto anahitaji mtu wakumsaidia kimawazo zaidi.Acha kuwa na roho za korosho kwahiyo kama wengine hawaja saidiwa na lulu asisaidiwe kwasababu anahusika kwa namna mmoja au nyingine kwenye kifo cha kanumba. Kanumba ameshafariki hamna namna yeyote unaweza ukamrudisha,haimaanishi basi Lulu na yeye afanyiwe ubaya, usilipe baya kwa baya na uache mawazo ya kisiasa kwenye hiz mambo.
 
Amesema KANUMBA amekufa hajaacha kitu ambacho watu wasingemsahau kirahisi.. Japo kapindisha pindisha na kusema legacy ila naamini alimaanisha mtoto

alikuambia amemaanisha hivyo, why umbebeshe mchungaji maneno ambayo huna uhakika ndio alimaanisha, we sema we ndo unahisi hivyo usimbebeshe mchingaji watu maneno yako
 
Nasikitika sana kusikia baadhi ya jamii kumlaumu mzazi wa binti huyu. Eti chanzo ni yeye ameshidwa kumlea katika mazingira bora. Binti Kalelewa katika sanaa na wanao jiita wana filamu. Wana filamu wamemkuza katika mazingira ambayo anaishi leo hii. Sio ajabu watu wa filamu ndio waliofungua njia mtoto akaanza tambaa.Sio ajabu watu wa filamu ndio waliomfundisha binti kulewa chakari. Sio ajabu watu wa filamu ndio waliomfundisha kuwa na akili ya tama ya maisha na mambo mengine mengi. Mungu amutuonyesha dhambi iliyofanywa kwa binti huyu. Naomba jamii imsamehe na serikali impiganie kwa yote.
 
Lulu mwenyewe kwenye kwenye kipindi cha Mikasi alifunguka kwamba she is 18.
Let her face the consequences.
Chukulia ni mdogo wako...ndo kapigwa na boyfrend wake, then wakati anajaribu kujinasua (kama kawaida yake, maana inaonyesha jamaa amekuwa akimfanya panching bag) jamaa kavuta...UNGESEMA BILA KUJALI HIVYO??? by the way...nae anahitaji kufarijiwa hakukusudia istoshe mshkaji ndo akukubali ni demu wa aina gani!! kwa mtu kama lulu asingefaa kumpiga kwa kosa na kuwa na mwanaume mwingine.....tuache fikra ZA MAREHEMU HUWA HANA KOSA?? Wanajamii tulijadili pasi kujifanya tuna huruma...ukweli ndo unahitajika hapa
 
Back
Top Bottom