Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

ona hata kuvaa kwake,
ina maana kila siku anavalia wapi,
hata siku moja mama asione mavazi ya binti yake,
na hizo picha za uchi kweli hakuwahi hata kusikia
wazazi tumezidi lol.

nakubaliana na mkuu Mamndenyi hapo juu,
mtoto wa miaka 18 yupo free ile mbaya halafu mama awe hajui haiwezekani.
 
Huyo nae mwache ajishebedue tu. . .
Atajaaibika!!!

Tatizo unahesabu wanaume alio ngonoka nao unafanya ndio umri. Tukifanya hivyo Wema Sepetu atakuwa na miaka zaidi ya mia, hata wewe itakuwa siri yako una miaka mingapi. Twende mbele turudi nyuma yule mtoto ni underage and minority. Only mijibaba kama Kanumba ilikuwa inamzeesha. Apewe dhamana, apate second chance ya kubadilisha maisha, na wala hajachelewa
 
Kwani ulijua Kanumba atawakusanya hao watu?
Acha ufinyu wa fikra mkuu anaweza kuwa hata LULU.
 
Sasa kama amekutwa na majeraha wasiseme?

Ila hilo la mapanga mhn! hizi habari sasa too much!duh!kama si kweli ni ujinga unaendelea humu.
 
Achana nao!Wivu tu unawasumbua!She cant do dat!Hata Diamond sio mkweli kwa kila kitu alichosema i guess!Ni kweli amebadilisha wanaume wengi kwa mda mfupi!But who is perfect kwa kila kitu?I mean dat should a weakness to her but inawezekana hajapata wa kumpenda!With dat said,plz muacheni mtoto wa watu!She is innocent!Watanzania tunapenda sana mdomo usiokuwa na maana kwa wenzetu bila kujali upande wetu tukoje na tunafanya nn!I hate sniches!
 
Hii inasikitisha sana...especially humu...where is your respect for the fellow being? Utterly ashamed!!!!!
 
huo wimbo wenyewe kauimba zaman sema vyombo vya habari vinataka tuamini kauimba karibuni.
Aliuimba kwenye movie yake inaitwa village pastor amaeigiza na anti ezekiel ya kitambo kama miaka 2 au 3 nyuma.
Kwa hiyo aliumba kama sehemu ya hiyo movie aliyo igiza kama pastor wa kanisa
 
ila bora masafara unapita kino.. wapite waone barabara yetu ilivyo na mashimo nq mchanga, watuwekee lami mpya maana JK alisema wana loliondo wamepata lami kwa bahati ya babu. Na sis tupate kwa bahati ya kifo hiki..
No offence...
 
Kanumba-4.png
 
Back
Top Bottom