Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Hapana bana she doesn't deserve such blaiming kwn she's also a human being so lets give her chance to confess what she did perhaps she's not guilty jaman ila nacho kipunguze uchakaramu.
 
Its true nimeamini kafa. The GRAET REST IN PEACE. Ila ndugu zanguni tunaoomboleza msiba tutafakari saana alikufa kwenye mazingira gani.Nasikitika saaans kwani mauti yamemkuta akijiandaa kenda DISCO. Tuelewe wote kuwa MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI. Kanumba The Great REST IN PEACE KAKA. Tulikupenda ila Mungu Kakupenda Zaidi. Lulu hana Makosa ila nadhani ni mpango wa Mungu kutufundisha kuwa kila jambo na wakati wake.
 
Miss drama queen! Nimesoma mahala kazimia msibani kapelekwa hosp! Hii ngoma nzito haswaa!
Nitaongea na babu odm amue mke mdogo labda atatuliza ruhani lake.
 
[h=6]Mbunge Shibuda wa Maswa ndio ataweka shada kwa niaba ya baba mzazi wa Kanumba ambae ameshindwa kuja leo: SOURCE millard Ayo.com[/h]
 
Every death has its cause! Stop mummering, can we get a real cause of Kanumba's death b4 we judge who is or not juvenile? We have prisons for juvenile too!
 
Halima Mdee (Mh) na Zitto Kabwe (Mh) walienda kumwona
huenda wao wanajua zaidi,
siku watafunguka watasema.
 
maskini lulu,tumwombee aepuke kikombe hiki,tusimuhukumu sana jamani,ukweli anaujua lulu na kanumba mwenyewe.R.I.P Kanumba
 
Labda alishindikana mpaka mama kainua mikono ila inaonekana mama yake ni mwelewa angekuwa mwingine tungesha msikia kwenye magazeti ya udaku akiongelea issue za mwanae kuandikwa vibaya.
 
Hahaaha eti King Majuto, Wakuu labda tuseme watu wamejaa huko kutokana na kifo chake kilivyotokea nadhani ndio maana imekuwa hivyo....
 
Huyu Ray ndo nasikia alifika eneo la tukio fasta fasta, usikute ndo yeye alikuwa akiwasiliana na hako kabinti na marehemu ndo akachukia?
 
hivi kweli hapo shinyanga ni mbali kaias kwamba mzee kashindwa kufika msibani?...i doubt this relationship bana...
 
siasa mapaka misibani hii inatisha.
siku ya j1 kupitia clouds TV alihojiwa Asha Baraka kuhusu msiba na wageni waliofika bila shaka kwa aliyemskiliza kwa makini atakubaliana nami kuwa hajui Sinza Vatican ipo jimbo lipi na mbunge wake ni nani.Kwani alisema hata mbunge wa Kinondoni Idd Azan ameshawasili na tunae msibani utafikiri ndo mwenye msiba au guest of honor.Mnyika iliyekuwepo hakutajwa na wala alionekana hausiki kabisa.
Siasa mpaka msibani!
 
heeeeeeeeee,huuuuuuu jamani watu wana data mpaka za twt.
 
hivi kweli hapo shinyanga ni mbali kaias kwamba mzee kashindwa kufika msibani?...i doubt this relationship bana...

Unadoubt nini? Unahakika gani kwamba hajafurahishwa na maziko ya mtoto wake kutekwa na vyombo vya habari pamoja na CCM? Unauhakika gani kwamba mila na desturi za maziko kwa mujibu wa wasukuma hazijazingatiwa? What relation is there between the dead and the living?
 
Back
Top Bottom