Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyaways, huenda alikuwa anataka apate nafasi ya kujivinjari na aweze kununua pombe...si unajua POMBE is not sold to below 18yrs...anavyoonekana hakika bado mdogo!
Raha hizi duh!!!
Alichoeleza LULU polisi kiko HAPA
swala la msingi ni je kweli lulu kaua au kanumba mwenyewe kajiua kwa namna moja au nyingine.
kama kweli kaua na uthibitisho ukawepo sheria za "tanzania itachukua mkondo wake.
Akitoka mapema anaweza kupoteza maisha
Huyu siye bana.........hili limekomaa tayari......yeye huyu hapa katikati ya usiku
![]()
umaarufu wa kijinga mbaya, hili ndio tatizo la mastar wa bongo wanafikiri kuvaa mavazi ya ajabu ajabu na vituko mtaani ni sifa eti waziita SWAGA.
haya binti mdogo kama huyu usiku huu na nguo hizi picha hii ilinifanya nisimpende kabisa lulu kapotea akiwa mdogo sana anyway sipendi kumuhukumu pengine kuna sababu zinazomfanya awe hivi ila naamini anahitaji msaada wa kujitambua zaidi na mtu kumwambia effect ya matendo afanyayo.
Ki ukweli kanapikiwa maelezo ili Kanumba aonekana alikuwa anakabaka, ila kama ni kupigwa kameanza na miaka 6 so ni kazoefu kwa kwenda mbele, ila kwa kesi hii marehemu hana haki uwezekano wa kushinda kwa kigezo cha umri na kutokuwa/kukosa ushahidi wa kumsukuma inaweza ikamtoa.
Nani alaumiwe sasa?
![]()