Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,611
- 867
Heti amebakwa. Watamuchia kama ditopile
Kabakwa wapi yule? Ni concord kama ndege aina ya concord ilivyo!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heti amebakwa. Watamuchia kama ditopile
Lulu ameanza maisha mapya segerea leo mara baada ya kushuka kizimbani aliposomewa shtaka la mauaji ya SK...da maskn, no makeup, no mashauzi, no nyodo, no disco, no biere, no kanumba....akitoka marafiki zake watakuwa kakobe, mwingira, rwakatare, TB joshua......ataheshmu wakubwa mara elfu's
Cheza na"riz moko"wewe eheee!Sina uhakika kama kweli wamempeleka jela,usikute yupo hotelini anakula bata chini ya ulinzi chezeeaa pedesheee za town??
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!
Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".
Sina uhakika kama kweli wamempeleka jela,usikute yupo hotelini anakula bata chini ya ulinzi chezeeaa pedesheee za town??
mi mwenyewe juzi nilikuwa na kademu maeneo niliwaza sana kama anything happens sina changu kwa Mwenyezi Mungu, jaman ni hatar sana maisha ya namna hii,Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.
Alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.
Alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!
Wana jf tumieni akili kidogo na muache kumtupia lawama sana huyo lulu.. mngesema vipi km lulu ndio angekufa kwenye lile tukio kanumba akabaki hai???? Hiyo ni ajali km ilivyo ajali zingine waacheni upelelezi ukamilike kila kiti kitajulikana.. kwanza huyo kanumba mwenyew hakuwa desent as he pretended to be mbele ya jamii,, alidai hanywi pombe wala hatumii kilevi kifo kikamuumbua kafa kwa ulevi, hatembei na lulu na kafa akiwa na lulu tena kwenye wivu wa mapenzi,,, hii dunia wandugu tunapaswa kushukuru na kumtanguliza mungu atuepushe na mabalaa sio kujidai wajuaji na wasemaji wazuri wa mikasa ya watu
lulu be serious, huwez ukatangaza umri wa miaka 18 kwenye vyombo vya habari halafu ukaukana umri huo kabla ya mwaka kupita. unless wewe siyo mkweli, na kama ndivyo tusiumize vichwa kwani jibu tunalo la nini kilichomuua kanumba. Lakini pia wewe ni kijana mchanga sana ambaye ndo kwanza umeuacha umri wa utoto punde tu, siyo jambo zuri kuwa dada mahakama au balozi wa selo. Sifa ya mwanamke ni utulivu na upole. Uliza vizuri wanawake wengi wamezeeka pasi kupaona polisi lakini wewe ni mara ya pili hii tena ukiwa na umri mdogo sana sasa ndugu ukifika miaka 50 utakuwa umehudhuria polisi au gereza mara ngapi?
Cheza na"riz moko"wewe eheee!
paulo bwana yesu akirud atamshangaa sana,,
ni yeye aliesababisha yote haya sisi tuanze kumuita bwana yesu mungu na kutufarakanisha wenyewe kwa wenyewe,
hali ya kua yule alikua ni mtumishi wa bwana mungu,sasa katubalishia maandiko na kutufanya tumuite yy mungu,mbona nimeichambua bibilia sijaona alipotamka yy mwenyew yesu tumuite mungu?
Kama yesu ni mungu kwanin katufarakanisha kiasi mm mwangalikana nisali kwangu,rc asali kwake,mlokole asali kwake?
Kama mungu ni yy pekee kwanin tutumie njia mbali mbali kumuomba yy hata ktk ibada?
Madhehebu kuwepo yangekuwepo lkn sasa kwanin wengne tutumie njia hii wengne watumie ile kumuomba mungu huyo huyo mmoja,
bwana mungu ni mmoja tuh,,paulo ole wako..!