Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Mbona tayari kishaanza kuandika mistari ya gospel huko "segemnege"single atakayoanza nayo inakwenda kwa jina la "pepo la ngono niachie"
 
Lulu ameanza maisha mapya segerea leo mara baada ya kushuka kizimbani aliposomewa shtaka la mauaji ya SK...da maskn, no makeup, no mashauzi, no nyodo, no disco, no biere, no kanumba....akitoka marafiki zake watakuwa kakobe, mwingira, rwakatare, TB joshua......ataheshmu wakubwa mara elfu's

Sina uhakika kama kweli wamempeleka jela,usikute yupo hotelini anakula bata chini ya ulinzi chezeeaa pedesheee za town??
 
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!

Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".

§Good thought§
 
Nimeshtuka sana ...kumbe ccm kawaida yenu kufanya kila kitu siasa.......Kama mlifikiri kupata credits kwa rais kumpa mbakaji kanumba million 10 na kugharamia msiba....mmepotea njia...kanumba kashazikwaaa na huo umaarufu umegeuka kituko.....

Kanumba imedhibitika kuwa alikuwa Anampiga bila huruma Yule binti kwa ubapa wa panga......Kama hangekufa ....na taarifa hii ingefikishwa polisi kwa haki ...Kanumba angejeuka babu seya kabisa......you don't know what would be next labda kanumba angemuuwa kabisa lulu...kamjeruhi kwa panga Hadi sehemu zasiri...yet rais na baraza lotela mawaziri wako pale.....

Nadhani nihaki Chadema kutoa Msaada kwa wanyonge wasio na kimbilio.....
 
Wana jf tumieni akili kidogo na muache kumtupia lawama sana huyo lulu.. mngesema vipi km lulu ndio angekufa kwenye lile tukio kanumba akabaki hai???? Hiyo ni ajali km ilivyo ajali zingine waacheni upelelezi ukamilike kila kiti kitajulikana.. kwanza huyo kanumba mwenyew hakuwa desent as he pretended to be mbele ya jamii,, alidai hanywi pombe wala hatumii kilevi kifo kikamuumbua kafa kwa ulevi, hatembei na lulu na kafa akiwa na lulu tena kwenye wivu wa mapenzi,,, hii dunia wandugu tunapaswa kushukuru na kumtanguliza mungu atuepushe na mabalaa sio kujidai wajuaji na wasemaji wazuri wa mikasa ya watu
 
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.

Alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.

Alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!
mi mwenyewe juzi nilikuwa na kademu maeneo niliwaza sana kama anything happens sina changu kwa Mwenyezi Mungu, jaman ni hatar sana maisha ya namna hii,
 
Wana jf tumieni akili kidogo na muache kumtupia lawama sana huyo lulu.. mngesema vipi km lulu ndio angekufa kwenye lile tukio kanumba akabaki hai???? Hiyo ni ajali km ilivyo ajali zingine waacheni upelelezi ukamilike kila kiti kitajulikana.. kwanza huyo kanumba mwenyew hakuwa desent as he pretended to be mbele ya jamii,, alidai hanywi pombe wala hatumii kilevi kifo kikamuumbua kafa kwa ulevi, hatembei na lulu na kafa akiwa na lulu tena kwenye wivu wa mapenzi,,, hii dunia wandugu tunapaswa kushukuru na kumtanguliza mungu atuepushe na mabalaa sio kujidai wajuaji na wasemaji wazuri wa mikasa ya watu

Katika uzi huu Lulu halaumiwi kwa kitendo cha Kanumba, hoja ya msingi pitia uzi hapo juu. Nini kipo nyuma ya Lulu mpaka yote hayo yanajiri?
 
lulu be serious, huwez ukatangaza umri wa miaka 18 kwenye vyombo vya habari halafu ukaukana umri huo kabla ya mwaka kupita. unless wewe siyo mkweli, na kama ndivyo tusiumize vichwa kwani jibu tunalo la nini kilichomuua kanumba. Lakini pia wewe ni kijana mchanga sana ambaye ndo kwanza umeuacha umri wa utoto punde tu, siyo jambo zuri kuwa dada mahakama au balozi wa selo. Sifa ya mwanamke ni utulivu na upole. Uliza vizuri wanawake wengi wamezeeka pasi kupaona polisi lakini wewe ni mara ya pili hii tena ukiwa na umri mdogo sana sasa ndugu ukifika miaka 50 utakuwa umehudhuria polisi au gereza mara ngapi?

Umeandika kanakwamba anasoma hii post!
 
Lulu kufichwa hivyo ni kwa sababu ya usalama wake maana watu wengi sana wanamuona km muuaji wakati si hvyo bali ni mtuhumiwa tu ambae amekamaywa na ngozi basi yeye ndo mla nyama
 
Binti alimjibu kuwa alikuwa anaongea na daktari aliyempima HIV mchana alikuwa anampa ushauri nasaha, na akasema ati ni +VE. Hii ilikuwa baada ya kudunda pekupeku, kijana akashtuka na kutikisa ubongo.
 
jaman wadau kuna tetesi kuwa lulu ana ujauzito wa miez miwili, sasa kuhusu kuwa ni wa kanumba or not nalo halijulikan, kama kuna mwenye uhakika na hl plz tufahamishane kwa sababu binafsi ningefurah sana kama kanumba kama huo ujauzito(kama ni kweli upo) ni wa kanumba kwa sabab nakumbuka alipohojiwa kwenye kipindi cha mikasi alidai hana mtoto. hyo ingekuwa kumbukumbu yake na ingeendeleza jina.
 
paulo bwana yesu akirud atamshangaa sana,,
ni yeye aliesababisha yote haya sisi tuanze kumuita bwana yesu mungu na kutufarakanisha wenyewe kwa wenyewe,
hali ya kua yule alikua ni mtumishi wa bwana mungu,sasa katubalishia maandiko na kutufanya tumuite yy mungu,mbona nimeichambua bibilia sijaona alipotamka yy mwenyew yesu tumuite mungu?
Kama yesu ni mungu kwanin katufarakanisha kiasi mm mwangalikana nisali kwangu,rc asali kwake,mlokole asali kwake?
Kama mungu ni yy pekee kwanin tutumie njia mbali mbali kumuomba yy hata ktk ibada?
Madhehebu kuwepo yangekuwepo lkn sasa kwanin wengne tutumie njia hii wengne watumie ile kumuomba mungu huyo huyo mmoja,
bwana mungu ni mmoja tuh,,paulo ole wako..!

Japo simtaalam sana wa biblia, lakini kwa kiasi kidogo cha historia za madhehebu, mengi yameanzishwa kutokana na kutofautiana kwa waumini waliokuwa dhehebu moja.

Hivyo basi, kundi moja la waumini hujitenga na kuanzisha dhehebu lao ambalo kwa kiasi fulani utaratibu hufananafanana na kule walipokua mwanzo.

Mfano, dhehebu la Anglikana lilijitenga kutoka kwa Katoliki, Molaviani kilikua kikundi cha wana kwaya, ikaendelea hivyo hivyo mpaka sasa kuna Wasabato Masalia sijui.

Lakini hata ukiangalia sala zao zinatofautiana kwa uchache sana mfano Baba Yetu, Namwamini Mungu Baba Mwenyezi(hii inatumika karibu katika madhehebu yote, kuna tofauti tu ya kutamka maneno lakini maana halisi ni ileile)

Kwa uchache huo ndio ufaham wangu.
 
Back
Top Bottom