Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

nilimuona chiz zaid alipohojiwa na millard ayo na kusema alivyokufa bro wake haikumuuma sana,baada ya cku tatu tu alisahau ila kifo cha kanumba hatasahau kamwe.lol!
 
kwa ujumla watoto wengi wameharibika,
hata katoto lulu kanaweza kuwa na afadhali,
wazazi ndio chanzo cha mmomonyoko wa maadili ya mabinti/vijana.
 
Mzee huyu ALIKUA ANAMTUMIA MWANAE KAMA KITEGAUCHUMI wala hakujali umri wake mdogo, mtoto amepiga mapicha mpaka ya uchiuchi kabisa na baba yake akaziona na wala hakuchukua jukumu la kumuonya mwanae mwenye umri mdogo sababu mtoto alikua analeta hela nyumbani leo kibao kimegeuka mwanae kaua anajidaikumtetea eti mwanae ni mdogo ana miaka 17!
 
naye alitamani siku moja alale na thegreat (R.I.P)
akakuta ndoto zake zimekufa ghafla.
 
Nimejaribu kukopi malezo yake lakini nimeshindwa ila kwa ufupi ni kuwa baba yake LULU MICHAEL EDWARD KIMEMETA kutoka ROMBO KILIMANJARO ametaka haki itendeke ,kwanza ameshangaa eti binti huyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu kwani wanachojua eti Kanumba alikuwa mwalimu wake na walitegemea yeye ndiye angemwongoza,kwa maelezo zaidi Tembelea blog ya michuzi na kuna picha ya huyo baba lulu.
 
................... ama kuna tofauti ya malezi kwa mtot STAR.😛eep:
 
Mbona hakumshangaa mwanaye anapojenga nyumba na kufungua duka la nguo hela amepata wapi?kama cyo mapapa na manyangumi anayoyabeba ndiyo yanampa!!

huyu mzazi ni bora afunge mdomo tu, mtoto amefanya mambo mengi makubwa, tabia chafu za ufuska, kuzunguka kwenye kumbi zooote zenye majina za starehe, kununua gari, kujenga nyumba n.k n.k a responsible father/parent lazima angehoji, mtoto katika age ya 16 kama anavyodai amefaya yote hayo wakati alitakiwa kuwa darasani akisoma? huyo kanumba ambaye leo anaonekana chanzo cha kumpotosha mwanae mbona alipomfanikisha kwenye baadhi ya mambo hawakusema lolote? binafsi simhukumu Lulu kuwa ndie ameua lakini si vema leo mzazi kujitia eti anamjali mtoto wake na kutaka kumlaumu marehemu kwamba ni chanzo cha tabia mbaya. Kwanza kitendo cha baba na mama yake kumzaa nje ya ndoa kinaashiria hata hao wazazi nidhamu yao ikoje, like parents like daughter! aache unafiki
 
Matokeo ya mtihani ya msanii Lulu aliyemaliza Midway Secondary School ni machafu na kwa msemo wa kiswahili alimanusura apinduke kwa maana ya kupata Div 0. Matokeo hayo ya Div 4 ya point ya 33 yanamaliza utata wa watu wengi kama kweli alimaliza form form na matokeo yake yalikuwaje. Bofya http://www.necta.go.tz/2011/matokeo/csee2011/s3548.htm ujionee mwenyewe.

Kwa wale wanaotumia simu nawarahisishia kabisa,

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S3548/0004
[/TD]
[TD="width: 4%"] F
[/TD]
[TD="width: 22%"] ELIZABETH MICHAEL KIMEMETA
[/TD]
[TD="width: 6%"] 33
[/TD]
[TD="width: 4%"] IV
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-F HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hayo yote yamejiri wakati baba yake Lulu alipozungumzia suala la mwanae, "Alikanusha madai kuwa mwanawe hakumaliza kidato cha nne na kusisitiza kuwa Lulu alisoma Shule ya Kimataifa ya St Mary's na baadaye alihamia Shule ya Sekondari ya Midway High School na kumaliza kidato cha nne mwaka jana"
 
ka lulu ni katuhumiwa tu jamii haipaswi kukahukumu kiholela na isisahau kwamba marehemu licha ya kufa au kuuawa bado alikua mpenzi wake!
 
wanaosoma st. marys wengi wanafeli vibaya
na wengi ni tabia kama ya haka katoto.

kinachoshangaza,
kampala university tawi la tz lililopo mbagala
alikuwa anasoma nini wakuu wangu.
 
Hao ndiyo wasanii wetu, wanashindwa kabisa kuwa kioo cha jamii hata kama uwezo huo wanao. Naamini kabisa Lulu kama angeweka juhudi katika masomo kidogo tu asingepata div 4 hiyo chafu. Hata hivyo nampongeza kuwa katika watu waliofaulu 10 katika shule hiyo ambao wamepata div 4.

Kuhusu utata wa umri wake baba yake anasema ana miaka 16, mwanae 17, polisi 18!!!! Ina maana alianza alianza la kwanza akiwa na miaka 5. Kazi ipo.
 
Natamani ningekuwa hakimu, ningetoa hukumu hii,

Elizabeth Michael aka Lulu.. mahakama imekuachia huru kwa masharti urudi shule ukaendelee na elimu pia utakuwa ukipewa counselling kuhakikisha kwamba tabia yako inabadilika, na tutafatilia mwenendo wako.

Kamata Wazazi wake wote fungulia mashtaka, wazazi wa namna hii ndo wanaosababisha ongezeko la watoto mtaani, na iwe fundisho kwa wazazi wanaofanya watoto wao vitega uchumi
 
daah!!kumbe ndo maana amekuw anaficha kusema alichokifany kw mikono yake mwenyew

Karibu jamvini mkuu, hao ndiyo quality ya mastaa tulionao. Shule hamna sasa sijui sanaa yenyewe wataitangazaje katika ngazi ya kimataifa?
 
Mbona hakumshangaa mwanaye anapojenga nyumba na kufungua duka la nguo hela amepata wapi?kama cyo mapapa na manyangumi anayoyabeba ndiyo yanampa!!

aisee! Hapo bado wazee kusimamia hiyo miradi ikiwa binti yao atawekwa lupango.
 
Back
Top Bottom