Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kwangu mimi Kanumba anastahili adhabu tena adhabu ya kumrubuni mtoto mdogo kama yule,watU wengi wanamuona kanumba ni inocent tena wengine ni wanawake wazima na akili zao wameshindwa kumuhurumia binti huyui ambae kutokana na umaarufu wa kanumba umesababisha huyu mtoto awe maabusu sasa, kutokana na pesa zake kanumba zimefanya huyui mtoto afanye mapenzi akiwa mdogo tujiulize kwa umaarufu wa kanumba mwanamkle gani mtu mzima nagemkataa kanumba itakua haka katoto,Kwa pesa zake kanumba aliweza kukadanganya na hatimae kukaharibia maisha haka kabinti wasanii ni vioo vya jamii lakini huyu hakuwa kioo cha jamii alitumia pesa zake kunyanyasa jinsia ya kike nina uhakika wapo wanawake wengi walipata manyanyaso toka kwa kanumba ingawa hawakuisema hata Lulu asingejulikana kama tukio hili lisingetopkea. Tuwe wakweli Kanumba kafa kifo cha aibu alikua anabaka!!!
Bahati mbaya wengi wanaongozwa na ushabiki tu juu ya kanumba! Anyways.....ngoja tusubiri report zaidi.