mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
naku correct. Dead man tells no tales.Dead man no tales😪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naku correct. Dead man tells no tales.Dead man no tales😪
Mama yetu Mpendwa Samia alisema majeruhi anatibiwa bila pf3.Yaani alitibiwa bila pf3?
Naomba nianze na taarifa yenyewe.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kuwa Daisle Simion Ulomi, aliyekuwa ameripotiwa kwamba amepotea, alifariki dunia baada ya kupata ajali mbaya na pikipiki aliyokuwa akiitumia siku ya Desemba 11, 2024.
Taarifa hiyo imetolewa leo Desemba 16, 2024 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo SACP Jumanne Muliro ambapo ameeleza kuwa tarehe 11 Desemba, 2024 Jeshi hilo lilipata taarifa ya kupotea kwake na ndugu hawakuwa wanampata kwenye mawasiliano ya simu, baada ya yeye kuondoka ofisini kwake Sinza na kudai anaelekea Temeke kufuatilia makontena yake ya biashara.
"Ulomi aliondoka eneo lake huku akitumia pikipiki namba MC 415 DQC aliyokuwa akiendesha mwenyewe, ufuatiliaji umefanyika kwa kushirikiana na ndugu na kubainika kuwa Ulomi alipelekwa kituo cha afya cha Makuburi Ubungo External mchana wa tarehe 11 Desemba, 2024 baada ya kupata ajali mbaya na pikipiki aliyokuwa akiitumia, wasamaria wema walimsadia kumpeleka kwenye kituo hicho akiwa hajitambui na hakuwa na kitambulisho chochote," imeeleza taarifa ya Kamanda Muliro.
Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa, " Baadae alipelekwa Mwananyamala hospitali na ikabainika tayari alikuwa amefariki na maiti yake kuhifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali hiyo kama mtu asiyefahamika akisubiri kutambuliwa na ndugu, ndugu tayari wameutambua mwili huo ukiwa na majeraha maeneo mbalimbali ya mwili. Aidha, Pikipiki aliyopata nayo ajali pia imepatikana ikiwa imeharibika. uchunguzi zaidi wa ajali hiyo unaendelea na taarifa zaidi itatolewa,".
#EastAfricaRadio
Maswali
Kwahio Afisa wa TRA ni kweli alipiga simu? Ni kweli kulikua na mawasiliano kati yake na Afisa wa TRA? Mbona baada ya "Afisa wa TRA" kumkosa (maana hakufika alikoitwa) hakuchukua hatua Yoyote ya kumpata "mteja" wake? Iko wapi simu ya Ulomi? Nani hasa alimpigia Ulomi kwenda bandari kavu? Mawasiliano ya mwisho ilikua chang'ombe, hapo jirani kuna hospital ya Temeke, why apelekwe Makuburi External?
Kwa maswali haya, Polisi wanakua Kwenye nafasi nzuri ya kujibu, wapi Ajali ilitokea, namna Ajali ilivyotokea (kugongwa au kugonga au kuanguka mwenyewe), huyu msamaria mwema ni nani hasa? Alitumia usafiri gani kumfikisha "Makuburi health Centre?"! Kutoka Makuburi (Ubungo) Hadi Mwananyamala kuna hospital kadhaa, mojawapo ikiwa ni Sinza Palestine, ambayo ina uwezo pia WA kupokea maiti, why wafunge safari ndefu Hadi Mwananyamala?
PIA SOMA
- TANZIA - Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala
Kama Polisi ndio walioupeleka mwili Huko, mbona hawakutoa taarifa kwa umma, na mitandao yote iliandika kuhusu kupotea kwa Ulomi? YAANI Polisi walikaa na taarifa Hii Hadi "alipopatikana" kwenye mafriji ya Mwananyamala.
Kama Polisi Wanakiri kuwa Ulomi hakua na Kitambulisho, LAKINI si alikua na Bodaboda "iliyopata Ajali"? Walishindwaje kuangalia usajili WA Bodaboda Kwenye mfumo wa TRA na kumtambua mmiliki? Ina maana angezikwa na Manispaa kwa kua hakua na Kitambulisho?
Kwangu Mimi hii taarifa imenipa mashaka Sana kuliko majibu.
View attachment 3178202
Hakika Ndugu yanguNchi hii
1. Ukiwa na mfanyabiashara tabu.
2. Ukiwa mwanaharakati tabu.
3. Ukiwa mwanasiasa wa upinzani tabu.
4. Ukiwa mkosoaji tabu.
Mtu pekee anayeishi kwa amani hapa Tanzania ni maskini aliye mpumbavu
kwamba anafuatilia makontena bila vitambulisho! polisi hawajatuambia vizuri.Utata mtupu
Dead men dont tell no tales!Dead man no tales😪
Kwani tutahoji wapi? Ndio wanachoaminikwamba anafuatilia makontena bila vitambulisho! polisi hawajatuambia vizuri.
Jinga kabisa wewe!TRA hawakumpigia Simu marehemu
Kwa mujibu wa mke wa marehemu ni kwamba mumewe alipigiwa Simu na Wakala wa Forodha
MUNGU akubariki SanaKazi yenye laana hii ..mtoto wangu akiwa shoga au polisi uyo namkana moja kwa moja
Wewe usiyejua chochote ndio Simbilisi wahed 🐼Jinga kabisa wewe!
MUNGU ni mwaminifu, atatupa majibu kwa wakati wakenakubaliana nawewe,ikiwa vitambulisho vilipotea ,leseni ya udereva ,NIDA alizokuwa nazo mfukoni ,basi marehemu alikuwa kabakiwa na vitambulisho viwili
(1)Pikipiki platenamba(usajili) hii ingeondoa haraka sintofahamu
(2) Simu yake ulivyosema.....ingejulikana waliompigia ni akina nani (TRA) walimkataa(au polisi walifanya Siri ili wahuni wasibumbuluke wanafatiliwa
Ushauri ,kama masauni kashabanduliwa uwaziri husika ,basi IGP na hawa mawakala wake wanasubiria nn
Duh 🙄Wewe usiyejua chochote ndio Simbilisi wahed 🐼