Kifo cha Ulomi: Taarifa ya Polisi imezua maswali magumu na mabaya. Haya hapa baadhi...


Mbona dama zinamwagika sana kwenye nchi yetu? Hii itatufikisha si pazuri. Wale wanaojua mambo ya kiroho ya Mungu aliye hai na wa kweli, wanajua hii dalili nzuri kabisa. Ni jinamizi baya sana.
 
We ulitaka meneja wa TRA achukue hatua gani wakati wewe umeshatoa taarifa kuwa katekwa?
 
nakubaliana nawewe,ikiwa vitambulisho vilipotea ,leseni ya udereva ,NIDA alizokuwa nazo mfukoni ,basi marehemu alikuwa kabakiwa na vitambulisho viwili
(1)Pikipiki platenamba(usajili) hii ingeondoa haraka sintofahamu

(2) Simu yake ulivyosema.....ingejulikana waliompigia ni akina nani (TRA) walimkataa(au polisi walifanya Siri ili wahuni wasibumbuluke wanafatiliwa

Ushauri ,kama masauni kashabanduliwa uwaziri husika ,basi IGP na hawa mawakala wake wanasubiria nn
 
MUNGU ni mwaminifu, atatupa majibu kwa wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…