Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

vijana wanakwenda na wakati
 
Huyo Demu alikuwa polygon
 
Duh pole kwa wafiwa.

Nje ya mada:
Mfano mtu akijiua kisa wivu wa mapenzi (let's say kukataliwa au kusalitiwa), je huyo aliyesaliti au aliyemkataa anakosa kisheria?
Hamna. Ni kama ujiue kisa madeni.
 
Hairuhusiwi kuua mtu kwasababu ya migogoro ya kimapenzi.
 
Mwamba mpambanaji.

Ngoja tusubiri taarifa ya polisi.
 
Hauwezi kuisha wasichana wamekuwa wajjanja Sana, anakula hela zako lakini anataka kukufanya wewe chizi, saa sio kila Mwanaume anaweza kuvumilia upuuzi
Unapata faida gani ukiua? Utawekwa chini ya sheria na utaishi kwa majuto.

Wanaume tuna njozi ya udhibiti tunaona tupo juu ya kila kitu.
 
Majuto ni mjukuu wa hasira hasara., jamaa anaishi kwa kujificha na mwisho wa siku atadakwa mchana kweupe kwani damu ya mtu haijawahi kumuacha mtu salama.
Vipi wasiojulikana nao wanakamatwagwa?
 
R.I.P Diana 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…