Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Mzee baba unamuacha aende kama humpendi, lakini kama unampenda ni ngumu sana kumuacha, mawazo yanakuja mengi na options kibao, moja wapo ndo hiyo ni heri Ufe wewe au Afe yeye
Uache kumpenda mama yako, umpende mtu mliekutana ukubwani. Ndio maana nimesema ni USHAMBA, kumpenda mwanamke kupitiliza, watoto wa mujini tuliozigusa hizo pisi kali huwezi kumpenda mtu kupitiliza kumshinda mama yako. Watu wanakaa na wake zaidi ya miaka 20 wanaachana na wanadunda tu itakua girlfriend. Alhamdulillah, sina mapenzi ya hivyo, eti niachwe hadi niumie nitake kuua mtu. Hio katika principles zangu haipo, sisi ndio wale tunaitwa ngoma ngumu.
 
Kijana mshenzi sana, amefanya mpaka Mafwele na polisi waonekana wana utu, adakwe, asiruhusiwe ajidhuru, apelekwe mahakamani, apigwe miaka.
 
Inaonekana wazi kuwa Dickson alimsomesha huyo manzi tokea huko baada ya kidato cha nne.

Yani mpaka anafikia chuo kikuu jamaa inaonekana alikuwa ndio anasimamia show zote karibu miaka kumi. Halafu manzi akaanza mizinguo.

Anyways kila mtu apate anachostahili.
 
Haya mambo mengine wanawake wanajitakia,unakuwaje na wanaume 2 kwa wakati moja mbona ni risk sana.Hakuna mwanaume anaweza kuvumilia akijua kuna mwanaume mwenzake wana share penzi.

Ushauri wangu kwa wanawake,malizana na mwanaume moja ndio uingie kwa mwingine.
 
Mshua aliniambia "ukimshindwa mwanamke ,mrudishe kwao.....usipige" kuna namna kama naanza kumuelewa.

mwamba tayari kayakanyaga ....keshaharibu maisha yake.
Kayaharibu kivipi??,si hajakamatwa.kuna watu wanaua watu kisha wanabadilisha mikoa-wanaendelea na shughuli zao miaka ikienda polisi na watu wamisha sahau.
Mbaya ni ukikamatwa.
 
Mapenzi ni wizi. Kipindi niko chuo nilikuwa above 20, kuna msela wangu alikuwa na demu wake , anakuja mpaka geto la msela ..Kitu nilikuwa nashangaa , jamaa anampiga makofi akimshtumu kumsaliti , nilikuwa najiuliza sana huyo demu ana akili gan mpaka anamilikiwa na msela yaani anawekewa mpaka mipaka ;hiki afanye na hiki asifanye .

Akilini mwangu , najiuliza hawana ndoa tena wamekutana hapa Dar , wote wametoka mikoani japo msela ameishi sana hapo Dar hasa kusoma advance . kwa kweli , mapenzi hapana, yule demu anapigwa makofi leo ila kesho unamuona tena na jamaa wanafurahi kwamba wamesahau .Mwishoe, jamaa alioa mwanamke mwingine baada ya chuo .​
Mkuu hayaingiliwagi hayo
 
Na funzo kwa wanaume; Kama mwanamke umeshindwa kumhudumia amepata kidume kingine chenye uwezo wa kumhudumia, usimdhuru muache aende na wewe tafuta wa level yako. Kuuana uana kwa kisa cha mapenzi ni UDHAIFU, USHAMBA NA UBINAFSI. Mbona wanawake wapo wengi sana mitaani.
Na je kama demu mwenyewe hataki muachane?
 
hivi inakuaje mwanamke anang'ang'ania kuwa kwenye mahusiano toxic?,....
sometimes tunasumbuana bure, wakati mwenye makosa mkuu ni marehemu,.....
Ye ndio alikua anajua anaepata nini pale huenda alikua anasukumiwa nyama ya kutosha
 
Mshua aliniambia "ukimshindwa mwanamke ,mrudishe kwao.....usipige" kuna namna kama naanza kumuelewa.

mwamba tayari kayakanyaga ....keshaharibu maisha yake.
Mtu mnapendana unamuuaje? Yes inatokea tu bahati mbaya na inge epukwa kwa kumrudisha kwao
 
Back
Top Bottom