Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Samahani dada ni challenge tu, mbona umeanza kuogopa? Ehhhhh🤣Bwana ww mbona unanitakia mambo mazito?
Samahani dada ni challenge tu, mbona umeanza kuogopa? Ehhhhh🤣Bwana ww mbona unanitakia mambo mazito?
Dickson ni muhensamu wizzo, sijui kwanini Diana alikua ana mchiti.Ahahaha wizo umemuona dickson alivyo hendsam
Sawa mkuu...Kayaharibu kivipi??,si hajakamatwa.kuna watu wanaua watu kisha wanabadilisha mikoa-wanaendelea na shughuli zao miaka ikienda polisi na watu wamisha sahau.
Mbaya ni ukikamatwa.
Kuna kosa lolote la jinai nimefanya?Mshkaji unalazimisha uonekane mwanamke ila asili inakataa
Nimeshangaa jamani kuna watu wanachezea bahati 😂😂😂Dickson ni muhensamu wizzo, sijui kwanini Diana alikua ana mchiti.
😂😂😂
Sawa walikuwa wapenzi kama umehisi amekusaliti kwanini umuue??,si uachane naeMkuu hujaelewa hao walikua wapenzi we unasemaje tena kama hakupendi hakupendi tu
Huyu bishoo anapaswa anyongwe,yeye ndie anauchungu wa kusalitiwa kuliko wazazi waliomzaa huyo binti?,huyu ni mjinga kwelikweli kama alikuwa anaona ameshindwa kuvumilia usaliti wa huyo binti,si angeachana nae kuliko kuutoa uhai wa mwenzie??Unasomesha binti yako hadi chuo kikuu ukitegemea, atumie elimu yake kujenga maisha yake, aolewe, ajenge familia upate wajukuu wakuite babu!
Halafu Bishoo mmoja waliyekutana chuo, hajamuoa wala hamujui anapotokea wamekutana tu kwa bahati mbaya anakatisha uhai wake.
Hiyo haki anaitoa wapi? Hakuna haki ya kuua lakini angekuwa mme wake tungesema labda hatujui yaluyokuwa yanaendelea. Sasa boyfriend tu unaua kisa usaliti?
Kwann musiwe mnasemaga mapema mpaka mtu anapasuka garama zake ndo hatakiwi tenayaani siku hizi unakuta mwanaume hana ramani na hataki umuache jamani poleni wadada
😂😂😂 wizzo ukute Diana alimpata muhensamu zaidi ya Dick. UwiiiihNimeshangaa jamani kuna watu wanachezea bahati 😂😂😂
Akili yako ni kama kinyesiUnge enda ukamrudishoa gharama zake alizo ingia, unataka mtu asahau tu kizembe, unajua hizo pesa kazipata vipi, short story tu inaonesha mshikaji alikua mpambanaji
Kaka watu wanaingia gharamaSawa walikuwa wapenzi kama umehisi amekusaliti kwanini umuue??,si uachane nae
Demu anashida ya ada kwa nn asimtafute mtu mwenye pesa,uhandsome ndo unalipa ada ya chuo😂😂😂 wizzo ukute Diana alimpata muhensamu zaidi ya Dick. Uwiiiih
Ndio ni kinyesi chako mana hua nakuingilia huko nyuma kwakoAkili yako ni kama kinyesi
Kwa kweli, uhensamu haulipi ada, ila Polee yake marehemu alikua anasoma kwa kupitia mwili wake na ujuzi wake.Demu anashida ya ada kwa nn asimtafute mtu mwenye pesa,uhandsome ndo unalipa ada ya chuo
Kwanini uingie gharama wakati unaona hapa ninapowekeza sio salama?,hiyo kwa lugha rahisi unajaribu kununua upendo ili mwanamke huyo akupende hii ni nonsense kabisaKaka watu wanaingia gharama
Sio kuhonga kaka mwanaume kumhudumia, alafu hao mademu hawasemiKwanini uingie gharama wakati unaona hapa ninapowekeza sio salama?,hiyo kwa lugha rahisi unajaribu kununua upendo ili mwanamke huyo akupende hii ni nonsense kabisa
Ndio iko wazi hivyo. Hawatasema lakini picha halisi imejichora na iko wazi.Umeongea pont kabisa nimewaza kama mimi nilivyowaza inawezekana jamaa kamsomesha,bint ndo maana hadi kwao mchizi anajulikana kabisa,ila ndo ivyo demu kapata mchizi mwingine mwenye pesa,kaamua kuchepuka