Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Unasomesha binti yako hadi chuo kikuu ukitegemea, atumie elimu yake kujenga maisha yake, aolewe, ajenge familia upate wajukuu wakuite babu!

Halafu Bishoo mmoja waliyekutana chuo, hajamuoa wala hamujui anapotokea wamekutana tu kwa bahati mbaya anakatisha uhai wake.

Hiyo haki anaitoa wapi? Hakuna haki ya kuua lakini angekuwa mme wake tungesema labda hatujui yaluyokuwa yanaendelea. Sasa boyfriend tu unaua kisa usaliti?
 
Majibu yangu mepesi katika kesi hii

1. Muuaji ni Dickson
2. Chanzo ni wivu wa mapenzi
3. Marehemu alimsaliti muuaji kwa kuwa na mwanaume mwingine.
4. Muuaji alishindwa kukidhi mahitaji ya kifedha ya marehemu

Case closed.

Funzo: Wanawake waache tamaa waridhike na kile mwanaume anakupa, kama, kama unahisi hakuridhishi ni bora umwambie muachane kwa amani.
Hakuna haja ya uchunguzi, Dikson akamatwe na abinywe korodani mpaka aseme ilivyokuwa. Kukatiza uhai wa binti mdogo ni unyama uliokubuhu. Dikson anyongwe mpaka kufa.
 
Unasomesha binti yako hadi chuo kikuu ukitegemea, atumie elimu yake kujenga maisha yake, allowed, ajenge familia upate wajukuu wakuite babu!

Halafu Bishoo mmoja waliyekutana chuo, hajamuoa wala hamujui anapotokea wamekutana tu kwa bahati mbaya anakatisha uhai wake.

Hiyo haki unaitoa wapi?
familia ya huyo bishoo haipo,..?
mapanga yaliyonolewa kabisa, hayapo,..?
kwani yeye huyo bishoo wanafamilia yake hawafi?,..
 
kwa mujibu wa mashaidi, ni kuwa kijitu kilikuwa kinapigwa mpaka kinahama getoni kwa msela, kesho tena kinarudi, si ajabu kilikuwa kinashauriwa kuachana na huyo msela, kikawa kinajibu shombo. ...leo kimekufa mnataka watu wakionee huruma,...haya maisha ni lazima watu wakubari uwajibikaji mapema,...maisha yako hayana mmbadala,...
 
Ushauri wangu kwa wanawake,malizana na mwanaume moja ndio uingie kwa mwingine.
Sasa unakuta anaempenda yeye hamtimizii mahitaji yake ya kingono au kiuchumi, wakati akiangalia kuna migodi kadhaa inayotembea inampigia misele 😊
 
Inaonekana wazi kuwa Dickson alimsomesha huyo manzi tokea huko baada ya kidato cha nne.

Yani mpaka anafikia chuo kikuu jamaa inaonekana alikuwa ndio anasimamia show zote karibu miaka kumi. Halafu manzi akaanza mizinguo.

Anyways kila mtu apate anachostahili.
Umeongea pont kabisa nimewaza kama mimi nilivyowaza inawezekana jamaa kamsomesha,bint ndo maana hadi kwao mchizi anajulikana kabisa,ila ndo ivyo demu kapata mchizi mwingine mwenye pesa,kaamua kuchepuka
 
Back
Top Bottom