Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Ukiangalia kwa makini haya matukio, unaweza kuona chanzo cha yote ni mwanamke, wanaume tumekuwa tukiumizwa kwenye mahusiano mpaka kupelekea kufanya maamuzi magumu.
 
Ndio iko wazi hivyo. Hawatasema lakini picha halisi imejichora na iko wazi.

Kama ndugu wote na marafiki wanakiri kumfahamu jamaa na kuwa mahusiano ni ya muda mrefu na kuwa mama wa mwanamke aliekuwa anamsomesha alifariki basi majibu yapo wazi kuwa jamaa ndio alikuwa mlezi wa mwanamke.
Unakuta jamaa anajinyima anashindia mlo mMoja ili Binti apate mahitaji yake mwisho kaonekana kidampa
 
Back
Top Bottom