baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Naona kama kuna namna ya viongozi hawa kua makini CCM ndani sio shwari tangia apitishwe mama kugombea Urais huo ndo ukweli na suala la awamu ya Mama kuifanya kua awamu ya sita wakati ni ya tano ulikua mkanganyiko mkubwa ndani ya chama.
Ukiweka na suala la kutwekwa kwa Polepole ni mjinga pekee anaweza kusema Polepole alikua peke yake kwa kupinga Uhuni uliofanyika. Je Polepole ametunzwa anataja mmoja mmoja aliokua anashikiriana nao?
Then wanapitana nao mmoja mmoja? Suala la October 29 wana CCM wengi hatukulipenda nikiwimo mimi pia nilishangaa wana CCM makini wote kushidwa kutoka na kumdai Polepole bila Uoga.
Soma Pia:
Viongozi wote ambao walikua karibu na Polepole jiandaeni na kuweni makini sana na kama ulikua unamuunga mkono Polepole kua makini bahari bado sio shwali. Bila polepole kupatikana

- Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia
- Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia