Kifo cha William Lukuvi na Jenista Muhagama. Ni fumbo kubwa linalotakiwa kufumbuliwa, Who is Next?

Kifo cha William Lukuvi na Jenista Muhagama. Ni fumbo kubwa linalotakiwa kufumbuliwa, Who is Next?

Kila mtu ana la kusema! Hata hivyo umri wake ulikuwa umesogea.
Ukifikisha 70, miaka inayofuata inakuwa dakika za majeruhi.
Hata hivyo tukiona replacement yake ni mzenji tutafikiria mengine.
 
Wataisha wote ambao walikua na mwasiliano na Polepole maana katunzwa
Kama ni kweli usemayo Wacha yawakute tu. Hao akina Polepole walishiriki siasa chafu za Magu za kuteka wakosoaji hata kuwaua, kwa kutumia madaraka yao vibaya. Acha wavune walichopanda.
 
Ni mwendo wa hekaya za abunuasi tu Sasa!

The next is you.
Huyu aliyemjibu mnajuana nje ya michango ya kawaida ya wanajf. Yaani nyie ni sehemu ya hizo siasa chafu za madaraka ndani ya ccm ya majizi.
 
Hakuna cha ugalatia wala mama'ake ugalatia zikifika zimefika tu tena kama hao kuku wa mdondo kutwa kwenye ma-VX ofisini a/c nyumbani a/c jasho wanatoka wakiwa wanaelekea bafuni utasikia wamekufa sana.
Kuna kimoja cha muhimu sana kuwatia jasho hata washinde kwenye viyoyozi.

Nadhani umekisahau au umekiacha kukitaja kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom