Nimekuelewa kuwa huna uzoefu wa ndoa kama Mapadre kila siku kutheorize kuhusu ndoa. Barikiwa na kwaheriNaijua mkuu na moja ya vitu vinavyoimarisha ndoa mojawapo ni hiyo ya kila mtu kuwa na chumba chake so ina create desire ya kupiga moto,sasa una mtoto mdogo mnalala naye wote kitanda kimoja r u serious? Mke ana mimba unalala naye kitanda kimoja ,really?
Familia zilizoendelea wana zaidi ya sitting room/living room moja ,wengi wanazo mbili , mbona kipindi cha uchumba anakuja tu unampa moto kisha anarudi kwao sasa ina tofauti gani na wakati mkiwa kwenye ndoa?