Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Nimekuelewa kuwa huna uzoefu wa ndoa kama Mapadre kila siku kutheorize kuhusu ndoa. Barikiwa na kwaheri
 
Nimekuelewa kuwa huna uzoefu wa ndoa kama Mapadre kila siku kutheorize kuhusu ndoa. Barikiwa na kwaheri
Sawa Mkuu tukubaliane katika kutokukubaliana ,kila mtu ana mtazmo wake hatuwezi wote kuwaza sawa! Na kila mtu aheshimu maamuzi ya mtu.
 
Ukute hajafanya kitu chochote huyo mama , Baba kafariki kwa wakati wake aliopangiwa na muumba wake, lakini daa jamani mfiwa ndiye anakuwa muuaji Mungu awasaidiye wanawake!
Kuna dada mmoja mumewe alifariki kwa ajali sasa mme alikuwa na uwezo uwezo ukilinganisha na ndugu zake. Yaani live wanadai amemroga ili arithi mali. Ukiangalia ndio kwanza walikuwa wanaanza maisha hata ujenzi hawajamaliza.

Tukabaki tunajiuliza hizo mali atakazorithi ni zipi? Waafrika bado tuna ujinga wa hali ya juu sana
 
Una presha ya msiba mwandiko unaonyesha
 
Tena ujinga wa hali juu kupita kiwango cha lami, yaani sijui nani alituroga waafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…