Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 751
- Thread starter
- #21
Sitaki kuaminiKifo ni mpango wa mungu amini hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki kuaminiKifo ni mpango wa mungu amini hvyo
Kwanza mtu hapati hukumu kutokana na yale waliofanya watu fulani au kizazi chake.Naomba uniambie ni wapi katika Qur'an ambapo mtu alikufa tu in a good will pasipokuwa na either mistakes alizofanya au mistakes zilizofanywa na kizazi chake
Inakuwa kosa sababu hairuhusiwi mtu kuiua nafsi ya mwenzie kwa dhuluma.Kama kila kifo ni Mipango ya mungu kwanini mtu akimuuwa mwenzake inakuwa kosa.
Tunaamini kila mtu amepangiwa kifo cha dizaini yake ,wengine wanapigwa risasi,wengine visu,wengine wanaenda na mafuriko nk....saaa kama tunajua hivyo kwanini mtu akimchoma mwenzake kisu tusiseme ni maandiko yametimia tu.....Inakuwa kosa sababu hairuhusiwi mtu kuiua nafsi ya mwenzie kwa dhuluma.
Na huyo muuaji wakati huo anakuwa ni sababu ya kupatikana kifo au kumuua mwenzake.
Kosa la mauwaji linakuwa pale pale.
Sisi huwa tunasema Qadar imetimia.Yaani lile alilolikadiria Allah limetimia.Tunaamini kila mtu amepangiwa kifo cha dizaini yake ,wengine wanapigwa risasi,wengine visu,wengine wanaenda na mafuriko nk....saaa kama tunajua hivyo kwanini mtu akimchoma mwenzake kisu tusiseme ni maandiko yametimia tu.....
Unamaanisha nini? Wakati unajua kabisa kuwa sisi binadamu na hata kifo ni matokeo ya dhambi ambayo walifanya babu zetu Adamu na HawaKwanza mtu hapati hukumu kutokana na yale waliofanya watu fulani au kizazi chake.
Kabla sijakujibu kwanza kiri ya kuwa Qu'an huijui ili nikusaidie.
Mkuu soma vizuri uzi wangu basiiii. Yesu + Yohana wote hao unaowasema, unajua REASONS behind their death? Tafuta basiNa yesu alikua akiwa mzee,yohana je
Thibitisha hilo.Pili mimi imani yangu ndio inanifundisha ya kuwa haukukiwi mtu kutokana na madhambi ya watu waliopitwa.Wao watalipwa na yao na sisi halikadhalika.Unamaanisha nini? Wakati unajua kabisa kuwa sisi binadamu na hata kifo ni matokeo ya dhambi ambayo walifanya babu zetu Adamu na Hawa
Kifo chochote kile si mpango wa MunguNaona hili neno limekuwa likitumika sana katika kutoa faraja kwa watu, utasikia mtu anamwambia mwenzake, "Pole sanaa ni mipango ya Mungu" ikiwa ni njia ya kumfanya mtu aone hilo jambo ni la kawaida na ni mipango ya Mungu mtu huyo kufa.
Siamini kwamba kila kifo ni mpango wa Mungu.
Imani yangu ni kwamba Mungu katuumba tuishi na tuzeeke tufe.
Mifano ya watu wote walioishi katika njia za Mwenyezi mungu kwenye vitabu vitakatifu inaniambia walizaliwa wakaishi wakazeeka wakafariki wakiwa wenye umri wa kutoendelea kuishi tena. Vifo vya namna hiyo hata mimi naamini ndio mpango wa Mungu.
Mtoto wa miaka minne, ameugua maralia, wazazi wamechelewa kumpeleka hospital au amepelekwa madakatar wakakosea katika vipimo akafa, watu wanasema ni mpango wa Mungu.
Juzi ajali ile ya mabasi ya city boys, dereva badala ya kuendesha kwenye njia yake, kapita njia ya mwenzake watu 42 wakafa tunasema ni mpango wa Mungu kwamba alipanga watu wale 42 wafe siku hiyo.
Unajenga nyumba kizembe zembe mtu anakaa anaangukiwa na ule ukuta unasema ni Mpango wa Mungu.
Nilikuwa naangalia records za vifo vya watoto chini ya miaka 5 kwa upande wa marekani na Tanzania, nikazifanyia comparison, Marekani wana idadi ndogo sanaaaa ya watoto wanaokufa chini ya miaka 5 wakati Tanzania idadi hiyo ni kubwa sana, kwanini? Marekani uangalizi wa watoto wadogo ni mkubwa sana na hata matibabu yake ni ya uhakika wakati Tanzania uangalizi kwa watoto wadogo na matibabu yake ni ya kubahatisha. Je vifo vya hawa watoto ni mpango wa Mungu?
Hivyo hivyo ukiangalia hata hapa kwetu, vifo vya watoto wadogo Masaki na vifo vya watoto wadogo Mbagala utaona kuna ratio ya 1:10 au zaidi ya hapo, Je ni mpango wa Mungu kwamba watoto wengi wafe Mbagala na sio Masaki?
Unaendesha bodaboda kwa speed unaanguka unakufa unasema ni mpango wa Mungu, Mtu katoka huko anaendesha gari lake bila kuwa makini anamgonga raia mwema aliyesimama pembezoni mwa barabara tunasema ni mpango wa Mungu,
Hapana, huo sio mpango wa Mungu, Ni mpango wa binadamu.
Hata katika biblia na Qur'aan ukisoma kama kuna kifo ambacho kilitokea kabla mtu hajazeeka basi fuatilia kuna UZEMBE aliufanya mahali fulani au yeye au wazazi wake wakapelekea akafa.
Kwa kusema hayo, ni imani yangu na ninaomba niwashawishi kwambaa, vifo kabla ya uzee vinaepukika, kutokana na mazingira, kulinda afya yako, namna unavyoishi na watu unaweza kuepuka vifo ambavyo sio mpango wa Mungu.
Fafanua na hili kaka MTU kalituma jini lije likuue halafu akafanikiwa je huo ni mpango wa mungu?Yakupasa kufahamu kuwa Mungu ametuumba kwa makusudi yake anayoyajua yeye mwenyewe
Kila binadamu huwa anashughuli ambayo amekuja kuitimiza duniani ambayo kwa akili zetu wanadamu hatuwezi jua hasa hilo kusudi la mungu ni lipi
Hiyo hata mtoto mchanga akifa huwa kunakusudi flani la Mungu limetimia tayari Na kazi iliyomleta duniani ameahaimaliza ndomaana inabidi afe bila kujali ni ajali au magonjwaa
Katika nnchi zilizoendelea vifo ni vichache kwa watoto chini ya miaka 5 kulinganisha na nnchi maskini lakin hii sababu haitoshi kusema kuwa kifo sio mpango wa Mungu kwani hata huko katka nnchi zilizoendelea kuna kilaaina ya kudhibiti uzembe ili watu wasife lakini bado wanakufa tu. Hii inamaanisha mtu hawezi kukikimbia kifo kwakuwa makusudi ya Mungu yameshatimia hana budi kufa tu.
Kifo ni mpango wa Mungu bila kujali uzembe unaosababishwa na wanadamu wengine.
Bhasi tenaSitaki kuamini
Sijasema kwamba kufa sio mpango wa Mungu bosi, soma thread yangu vizuri basiiiKifo ni mpango wa Mungu kama ilivo kuzaliwa
Haijalishi umekufa mzee au kijanaSijasema kwamba kufa sio mpango wa Mungu bosi, soma thread yangu vizuri basiii
Una maana gani mkuuKifo chochote kile si mpango wa Mungu
Hahahahaaaa mi nafikiri huo ni mpango wa aliyetuma jiniFafanua na hili kaka MTU kalituma jini lije likuue halafu akafanikiwa je huo ni mpango wa mungu?
Hapana kwa hapo nakataa mkuu.Haijalishi umekufa mzee au kijana
basi hata huyo mnaemuomba kwa jina lake alifanya UZEMBE maana alikuwa bado kijana kwa mujibu wa vitabu vyenu!