Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
😅😀Akipata tena hiyo bahati niende nikashuhudie kama kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😀Akipata tena hiyo bahati niende nikashuhudie kama kweli
Sheikh wewe ni AHMADIYYA? Moto ni wa milele au ni muda (temporary) kwa fiqh za kisunni?
Uko kipande gani kwa sasa?Akipata tena hiyo bahati niende nikashuhudie kama kweli
Nakuja December, tufanye majaribio kwako labda.Dom town moja
Naweza kukuambia tukutane Mare Tranquilitatis.Mkui sitaki nikutie Asara ya nauli nipe location nitatia mguu asubuhi na mapema
Hii sio chai kweli hii
hv JF hakuna aliyekufa aje atupe updated kuhusu kifo ?
Kinachitisha kwenye swala la kifo siyo kifo chenyewe, ni namna au manner ya namna kifo chenyewe ambavyo huwa kinakuja kwamba lazima upitie taabu na /au maumivu makali. Ingekuwa watu wanafariki pasipo maumivu yoyote let's say wakiwa hata usingizini, wachache sana wangeogopa kifo!Kifo kimebaki kuwa siri nzito kati ya yule aliyepata umauti na mola wake kwa sababu moja tu kwenye kifo hakuna uhai unaoweza kumfanya yule aliye mfu kusema yale anayoyaona mara tu baada ya kifo chake,
Kuna elimu nyingi zinazoelezea Kifo ziko zile ambazo ukizisoma zinakuongezea maarifa na nini kinatokea baada ya kifo chako,
Refer;
Sanaa ya kifo - JamiiForums
Licha ya Elimu hizo Adimu lakini bado hakuna ithibati ya moja kwa moja hivyo Kumeweza kukifanya Kifo bado kuwa ni siri kati ya yule marehemu na mola wake,
Kuna mengi ya kujiuliza na yakuogopesha kwa kweli kwa mfano
Ukiingia kwenye upande wa imani tunaambiwa Lazaro alifufuka katika wafu kwa maana hiyo lazaro ni mmoja kati ya wale wachache walioonja chungu ya mauti na kurudishiwa uhai wake tena,
Kama ni kweli kwanini lazaro hakuwahi kusema kile alichokumbana nacho baada ya kifo chake na badala yake ametuachia maswali na indication nyingi kuhusu kifo naweza kusema lazaro alikuwa mbinafsi kwa nini hakutaka wengine tujue.?
Upande wa pili pia wanasema ukifa unaenda kukutana na starehe ambayo hujawahi pata tangu uingie duniani ,hakuna magonjwa ,misosi ya kila aina ,bila kusahau mademu wakali ambao ni bikra ,
Ukija pia kuangalia huyo anaekuelezea ilo somo na kukuhubiria kuhusu raha na starehe zinazopatikana baada ya kifo Maisha yake ni ya kugongea na tabu tupu,unabaki kujiuliza kama ni kweli kuna hizo starehe kwa nini Asife yeye akazipate hizo Raha?
Wakuu nisiwachoshe sana ila kuna indication nyingi sana kuhusu kifo,hakuna namna yeyote ya kuelezea kuhusu kifo,kifo kinatisha kwa sababu kila mmoja wetu anajua ni lazima atakufa lakini hakuna anaejua ni nini kitamtokea baada ya kifo chake,
Na ndio maana kifo kinaogopeka.
Uislamu ni dini ya mapokeo hususan ktk mambo ya ghaibu, yaani tunaamini kuran yote na Hadith sahihi zote tena si kwa uewelewa wetu bali kama walivyoelewa Maswahaba Allah awaridhie wote. Huu ni msingi muhimu sana ktk dini ya uislamu. Kwahivyo basi kwa mujibu wa Quran na Sunnah kama walivyofahamu Maswahaba Allah awaridhie wapo watu watakao kaa motoni MILELE na wapo watu watakaa motoni kwa muda fulani kisha watatolewa humo na kupelekwa motoni.Common sense tu inahitaji kuona Mungu akiwa muadilifu,mwenye huruma, mrehemevu,mkarimu nk, zaidi kuliko binadamu, iweje mtu atende makosa, mfano wizi nk, mahakama za duniani zimuhukumu kifungo cha miaka kadhaa na akishamaliza kifungo anakuwa huru, lakini eti Mungu amuingize mkosefu motoni MILELE kwa makosa aliyotenda kwa muda fulani kipindi alipoishi hapa duniani !!??. Where is the absolute justice??!!
Hiyo "adhabu" ya moto ni kutokana na mapenzi na huruma yake, mfano ni kama vile mzazi kumpatia Quinine au muarubaini mtoto wake anayeugua malaria.
Qur'an na hadithi zinaunga mkono kuwa jehanamu siyo ya milele ila itakuwa "Abadan" yaani ya muda mrefu sana.
Mkuu umetisha sanaSioni haja ya kuogopa kifo mkuu Zero IQ , uliwahi kujiuliza ulipokua upo tumboni kwa mamayo ama kama umepitia (IVF) in-vitro fertilisation ulikua unajua unaenda wapi, ama uko wapi? Kama ulikua hujui don't bother yourself about death experience! Je, kama uta transcend na kuingia kwenye another womb?
je, kama kabla ya kuwa hapo ulipo uliwahi kuishi sema tu upo clouded na conscious mind na hujawahi enda beyond ujue kuna nini?
Mfano, budha kabla ya kuzaliwa anasema alikuwa ni tembo.. vipi kuhusu wewe?
Btw,
Maisha mazuri sio jumla ya miaka uloishi hapa duniani bali ni kwa kiasi gani ume serve the humanity, universe.. sio unaishi kama methusela wa kwenye biblia ya wakristo and yet hakufanya chochote kwa mungu wake.
within u all answers to ur questions resides. .
Start ur journey home brother.
Mkuu naomba umalizie wanaokwenda upande wa pili please.Mama yangu ni nurse muhimbili zaidi ya miaka 30 , aliwahi kuniambia Kwa experience yake ya kuwaona wagonjwa wakifariki aliniambia Kwa mtu anayekufa taratibu anajua wapi anaenda.
Aliniambia amewahi kushuhudia zaidi ya Mara kumi wagonjwa wanatoa tabasamu wakifurahia malaika wakija kuwachukua huku wakisifia mji wanaokwenda ni mzuri sana, akazidi kuniambia utashangaa mgonjwa alikuwa Amalia maumivu makali ya ugonjwa Mara anabadilika anaanza kutabasamu na anakuwa kama anataka kupaa huku akiwasihi malaika wamchukue.
Na upande wa pili wanaokwenda sehemu mbaya ndio balaa bora niishie hapa
Ha ha haambona umesema ulikua haupo kisha ukawepo ,thena utakua haupo milele,kwanini baada ya kutokuwepo isitokee uwepo tena kisha uwe haupo then uwepo tena,kwanini baada ya kutokewepo hii mara ya pili iwe ndio forever wakati hata mwazo ulikua haupo kisha ukawepo
So unaweza kuzaliwa tena kama sallah aka tajiri mtataHuwa tunarudi kivingine,Roho haiwezi kufa bali mwili,kwa mtazamo wangu