Kifuani kwa mpenzi wangu

Kifuani kwa mpenzi wangu

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
"Money Penny buana, nadhani nimepata true love,

Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii,

Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex

Nilipokuwa kifuani kwa mpenzi wangu, nilikutana na kitu cha ajabu, kwanza kifua cha mpenzi wangu kimejaa, nimeweza kuweka bichwa langu

Piki kifuani mwa mpenzi wangu, kuna nywee nyinhi za kutosha

tatu kifuani kwa mpenzi wangu wakati nimeweka binchwa langu, niliona mapigo yake ya moyo yanaendana na yangu, yanadunda sawa kwa pamoja

Sijawahi kukutana na hichi kitu jaman kwangu ni muujiza"

Je, wewe unwesoma huu uzi embu tumble ushakutana na hii kitu kwenhe kifua fha mpenzi wako? Au unawaza marejesho?

Embu weka picha ya kifua cha mpenzi wako kwanza tuone , hahaha
 
Hehe
Weka picha ya kifua chako shem
Watu watakujaaaaaa
1713557810334.png
 
Jamani Bujibuji Simba Nyamaume kifua chako hakina tunywele tule ukitulalia tunatekenya
Nilipita saluni kunyoa ili nipige picha. Kichwa kina nywele nyingi kuliko kifua, ila kichwa ni bei chee sana.

Nikauliza what's the reason, nikaambiwa ni mto Nile huo, inatakiwa tuunyoe kuanzia Jinja Uganda hadi Misri. Ambao hamkibebwa kwenye mbeleko msije kuniomba tafsiri.
Bujibuji Simba Nyamaume is the illest
 
Back
Top Bottom