Kifuani kwa mpenzi wangu

Kifuani kwa mpenzi wangu

"Money Penny buana, nadhani nimepata true love,

Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii,

Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex

Nilipokuwa kifuani kwa mpenzi wangu, nilikutana na kitu cha ajabu, kwanza kifua cha mpenzi wangu kimejaa, nimeweza kuweka bichwa langu

Piki kifuani mwa mpenzi wangu, kuna nywee nyinhi za kutosha

tatu kifuani kwa mpenzi wangu wakati nimeweka binchwa langu, niliona mapigo yake ya moyo yanaendana na yangu, yanadunda sawa kwa pamoja

Sijawahi kukutana na hichi kitu jaman kwangu ni muujiza"

Je, wewe unwesoma huu uzi embu tumble ushakutana na hii kitu kwenhe kifua fha mpenzi wako? Au unawaza marejesho?

Embu weka picha ya kifua cha mpenzi wako kwanza tuone , hahaha
Mseeewwww

Mtaachana tuuu😂😂
 
Back
Top Bottom