Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Habari zenu
Vipendhy nina shida kdg hapa kifuani upande wa kushoto kuna baadhi ya muda nahisi kama kuna kitu nimeenda hosptal wakaniambia ni gas tu wakanipa dawa ila nikawaomba wanipime moyo mana nilikuwa nina wasi wasi na icho kitu nikapimwa ECG ndio kipimo kilichopo ikaonekana ni normal hakuna tatizo nikaondoka na zile dawa za gas ila nimemaliza doz lkn kile kitu bado nakihisi nifanyeje naomba ushauri