Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kwanza nenda hata safari ukapunguze hasira.Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu alafu unanitukana et nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!!???
Mzigo nilikua nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitorizika Ila ntaka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake za watu kwa dharau.
Na wife wangu ujiangalie sitokuacha Hivi Hivi you will pay for it.
Mimi na Watoto wangu hawawezi teseka alafu watesi wao wakala Bata tuu.
Ukirejea fanya moja kati ya haya
1. Msamehe mkeo yaishe au
2. Achana naye aende kwa amani
Utakuja kunishukuru....