tzhosts
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 403
- 510
Adhabu pekee unayoweza kuwapa ni 1,Be the best version of yourself 2.Accept the pain with humility 3.Let them know that you love her.4 Love your children 5 Be happyMgoni wangu umenivunjia ndoa yangu alafu unanitukana et nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!!???
Mzigo nilikua nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitorizika Ila ntaka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake za watu kwa dharau.
Na wife wangu ujiangalie sitokuacha Hivi Hivi you will pay for it.
Mimi na Watoto wangu hawawezi teseka alafu watesi wao wakala Bata tuu.