Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 551
This hurts, so sorry brother! You are a soldier, you can overcome this. Mungu alikupa watoto kwa sababu aliamini kwa vyovyote vile iwavyo na inacyoweza kutokea watakuwa salama kwako, please do not revenge because itakuwa na madhara kwa mind yako na kwa maisha ya watoto, yaani unaweza usijulikane ulichofanya ila moyoni na akilini mwako ukawa umeharibikiwa sana na baadhi ya watu wanapata msongo wa mawazo zaidi hadi kuwa mentally ill kwa revenge bila kujalisha ni ya aina gani. Hujui mgoni wako anajiamini kwa lipi, kuna watu wanatembea lakini ni zaidi ya uwaonavyo sio kimwili ila kiroho!
Ni kweli inauma kwa sababu ni dharau ila piga moyo konde, ulishinde hilo jaribu. Kaa mbali naye huyo mkeo, ikiwezekana mwache na nyumba na watoto ondoka nenda mbali, poteza hata mawasiliano nao ila weka mazingira yakiusalama kwa watoto na kuwe na mtu anayeweza kuwa anacheki cheki usalama wa watoto ama wahamishia kwa ndugu unayemwamini au wazazi wako then wewe kaanze upya. Amani ya roho ni mhimu zaidi ya mali!
Sisi tuliooa ndio tunaelewa uchungu alionao jamaa, pole sana mkuu. Jipige moyo konde lishinde jaribu na Mungu atakulipia.