Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #81
Kwani uwezo unadumu? Hujui maisha weweKijana Kama huna uwezo wa kumiliki pisi Kali acha kujitesa chapa ondoka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uwezo unadumu? Hujui maisha weweKijana Kama huna uwezo wa kumiliki pisi Kali acha kujitesa chapa ondoka!
Tatizo nilimrudisha alafu nikagundua wanaendeleaUnauwakika uyo mke wako yuko uko
Sijawaza kujiua hata Mara moja zaidi yakupambana nanhali ya kujiumiza kwa stressMama amekupigania sana mpaka hapo ulipofika. Amatokwa na jasho, akamwaga chozi na damu kwa ajili yako halafu uje ujitoe uhai kiboya tu kisa mwanamke asiejielewa?
Amen this is only I can replyNakuelewa.
Inaumiza yes, ruhusu kuumia ili upone.
Life fucks sometimes.
Sio nyakati zote mambo huenda vile tunapanga.
Kuumia sio udhaifu!
Ni ubinadamu,it is being human!
So uko sahihi kuumia but usiruhusu kuumia kwa leo kuondoka kicheko cha kesho.
Wanawake wazuri wako kibao.
Watamu kama saga la asali.
Kujifunza tu kuchukulia hatua za maisha na changamoto zake.
Baaas!
Yani usiruhusu starehe za mtu siharibu maisha yako.
Sipigani kimwili mzee nshapita hukoKuna jela mkuu
Utaacha watoto na wewe
🤣🤣🤣Njoo nizifanyie Kazi kwakoMkuu ungefanyia kazi swala la tako mbili bao kwanza.
Hapa nasubiria majibu tuuNakuunga mkono, siku ukitaka kumloga niambiee
Jichanganye na weqwe nikuoneshaAisee ilikua haki kugongewa kwa akili hizo za kitoto.
Nipe dawa yaku kubali defeatUkateseke jela na wanao uwaache wenyewe.
Dunia ilivyojaa uzandiki hii?
Wafanywe mashoga na majambazi?
Wadhulumiwe Mali zako?
Wakose elimu?
Wanatizamwa na nani?
Ndoa ni nini kiasi isimamishe maisha yako kila leo unapost kuhusu same stuff?
Huyu mwanamke unayelia lia nae kila siku in the name ya kuwa una hasira sijui ntamkomesha mbona hana hata wazo na wewe?
Imeenda iache iende.
KUBALI KUSHINDWA.
Kwani kukubali defeat shilingi ngapi?
Kuna vita kupigana hata ukishinda ulishashindwa mwanzo.
Una mambo mengi ya msingi kutizama kuliko kulipa kisasi.
Watoto wako wanakuhitaji kuliko huyo unayejiapiza kummaliza.
Mwenzio anaendelea na maisha yake wee yako unaweka rehani!!
Mxxxxxxiiiew
Haitakusaidia.
Haitakurudishia mke.
Haitarejesha ndoa yako.
Some of us here we are best losers.
We Win while Defeated.
Think!
Think!
Think!
NI KUKUBALI DEFEAT.Nipe dawa yaku kubali defeat
Hii effort ungeutumia ndani yako kuliko nje yako kwa wengineJichanganye na weqwe nikuonesha
Dawa pekee ni MUDA tuu jipe muda jipe mudaa maumivu lazima tupitie na hakuna maumivu yana dumu milele.Jipoge kifuani sema hili nalo litapita ila litachukua tu muda.Kinachonisumbua Ni hi Hali ya uchungu moyoni mi natafuta hata dawa ninywe niwe na amani naambiwa hamna sijui Nani wakinisaidia
Nafurahi unakiri UNAJIUMIZA.Sijawaza kujiua hata Mara moja zaidi yakupambana nanhali ya kujiumiza kwa stress
Kisasi chochote unashauriwa kuchimba makaburi mawili.Mi niko tofaut na washaur wengi hapo.
Kwanza vipi hicho kisasi chako ulichopanga kina madhara yoyote kwako?? Kama hakuna basi go on mkuu, iridhishe nafsi yako upunguze maumivu.
Ila kama kinahusu kwenda jela na watoto kuteseka basi achana nacho mkuu tafuta namna nyingine tu ya kuachana na mkeo uendelee na maisha yako bila kumfatilia.
Mtaliki.Tatizo nilimrudisha alafu nikagundua wanaendelea