Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Sijawaza kujiua hata Mara moja zaidi yakupambana nanhali ya kujiumiza kwa stress
Usijiumize hata kidogo.

Hapa ndo JF bana.

Anonymity imetusaidia wengi kupona. Mimi mmoja wapo.

Sasa hivi stress nimetupa kule full kuzingua tu humu na bangi zinazonibangua.

I will say a little prayer for you young man. Mungu atakuponya na hilo kombe litakupita na utakaa sawa tu tupishane kwenye sredi tupeane hi.
 
Mi niko tofaut na washaur wengi hapo.

Kwanza vipi hicho kisasi chako ulichopanga kina madhara yoyote kwako?? Kama hakuna basi go on mkuu, iridhishe nafsi yako upunguze maumivu.

Ila kama kinahusu kwenda jela na watoto kuteseka basi achana nacho mkuu tafuta namna nyingine tu ya kuachana na mkeo uendelee na maisha yako bila kumfatilia.
Hapa umepiga full P mkuu.

Yaani full Pumba.

🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Kiongozi kuna uwezekano MUNGU kakuongoza uje hapa. Utapata mawazo mazuri tu. Nakushauri hizo hasira ulizomuwekea mgoni wako zoooote zipeleke kwa hasira kuu kwenye kusaka pesa. Jitahidi kuumiza kichwa uwe na hela. Msahau kabisa mgoni na mkeo.

Vyote vimefanyika ksbb tu huna hela ya kutosha mkuu.

Kulipiza kisasi kutakupeleka sehemu mbaya. Nakuhakikishia ukimsahau na kusamehe kabisa,utakuwa umewashtakia kwa MUNGU. Watateswa na MUNGU
 
JIULIZE KWANINI WIFE WAKO KACHEPUKA!!!
JIULIZE WEWE ULIKUWA NA MAPUNGUFU GANI HADI UKAGONGEWA!!?
KISASI SIYO SULUHISHO .
 
Nyakati ngumu huwa zinapita hazidumu huja kutufundisha pole kwa kuumizwa tena ndoani usaliti ni hatari punguza hasira remember time heals everything, it's hard but you will overcome futa kisasi ikiwezekana stay away usiwe unawaona utapona bana, Hilo ni jaribu lako kuwa makini
 
Back
Top Bottom