Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Bata wapi, kaka
Mm nashauri tafuta pesa lea wanao basi
 
Maisha ni mafupi sana ndugu yangu. Nakushauri achana na revenge ya kuwaumiza. The best revenge ni KUKAA KIMYA, PRETEND KAMA HAKUNA WALICHOKUFANYA. Inataka moyo wa jiwe sio rahisi
 


Nimejifunza kitu hapa kwenye maelezo yako.

Natamani ufungue uzi wa kujitegemea utoe muhadhara wa kina.
 


Lakini inategemea kosa amefanya nani kati ya mke au mume.

Fahamu kuwa Mungu anapendezwa na msamaha wa -

1. Kwake Mwenyezi Mungu mwenyewe

2. kwa sisi sisi binadamu mfano (Mke na mume)

Maandiko yameagiza hivyo.

Tusijekuwa tunajidanganya kuzani tumetubu makosa yetu mbele za Mungu ilihali wale binadamu wenzetu tulowakosea mfano Mke au mume tukaacha kuwaomba msamehe na kutengeneza nao.

Ni muhimu sana kufahamu hilo.
 
Mkuu una filosophia kali sana.
Mwanamke ni binadamu , akitaka kula uroda nje huwezi kumzuia.
Usipojua, bora zaidi, ukijua inauma lakini bora kusamehe na kuendelea na safari ya maisha.
 
Katika kisasi chako angalia usije ishia jela, wanawake bado wako wengi Sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…