Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu halafu unanitukana eti nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!

Mzigo nilikuwa nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitoridhika Ila nataka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake za watu kwa dharau.

Na wife wangu ujiangalie sitokuacha hivi hivi you will pay for it.

Mimi na Watoto wangu hawawezi teseka halafu watesi wao wakala bata tuu.
Bata wapi, kaka
Mm nashauri tafuta pesa lea wanao basi
 
Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu halafu unanitukana eti nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!

Mzigo nilikuwa nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitoridhika Ila nataka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake za watu kwa dharau.

Na wife wangu ujiangalie sitokuacha hivi hivi you will pay for it.

Mimi na Watoto wangu hawawezi teseka halafu watesi wao wakala bata tuu.
Maisha ni mafupi sana ndugu yangu. Nakushauri achana na revenge ya kuwaumiza. The best revenge ni KUKAA KIMYA, PRETEND KAMA HAKUNA WALICHOKUFANYA. Inataka moyo wa jiwe sio rahisi
 
Af hata sio lazima Mungu amlipie.

Wakati fulani haya mambo hata Mungu hayatazami kama tunavyoyatazama.
Ndo alisema.Kisasi ni changu.
Mungu ana namna yake ya kufanya mambo hata haifanabi na sisi wanadamu.
We wakati unafkr Mungu atamlipa,kumbe mwenzio ameshatengeneza na Muumba wake anaishi katika neema ya Msamaha
So tusiwe tunatarajia sana kuona mateso ya watesi wetu.
Mungu yeye ndo anajua kwa haki hasira aipatilize wapi.

Sio kila ndoa ni mpango wa Mungu.
Sio kila ndoa.lazima iishe na kifo.
Sio kila ndoa lazima ikuletee neema.

Some.of marriages ni njia zetu za kupita kwenda ilipo destiny.
Inahitaji akili Njema sana kuelewa hii.
Unaweza kuwa udhaifu machoni kwa wengine lakin out of it kuna Uimara mkubwa sana.

Nimejifunza kitu hapa kwenye maelezo yako.

Natamani ufungue uzi wa kujitegemea utoe muhadhara wa kina.
 
Af hata sio lazima Mungu amlipie.

Wakati fulani haya mambo hata Mungu hayatazami kama tunavyoyatazama.
Ndo alisema.Kisasi ni changu.
Mungu ana namna yake ya kufanya mambo hata haifanabi na sisi wanadamu.
We wakati unafkr Mungu atamlipa,kumbe mwenzio ameshatengeneza na Muumba wake anaishi katika neema ya Msamaha
So tusiwe tunatarajia sana kuona mateso ya watesi wetu.
Mungu yeye ndo anajua kwa haki hasira aipatilize wapi.

Sio kila ndoa ni mpango wa Mungu.
Sio kila ndoa.lazima iishe na kifo.
Sio kila ndoa lazima ikuletee neema.

Some.of marriages ni njia zetu za kupita kwenda ilipo destiny.
Inahitaji akili Njema sana kuelewa hii.
Unaweza kuwa udhaifu machoni kwa wengine lakin out of it kuna Uimara mkubwa sana.

Lakini inategemea kosa amefanya nani kati ya mke au mume.

Fahamu kuwa Mungu anapendezwa na msamaha wa -

1. Kwake Mwenyezi Mungu mwenyewe

2. kwa sisi sisi binadamu mfano (Mke na mume)

Maandiko yameagiza hivyo.

Tusijekuwa tunajidanganya kuzani tumetubu makosa yetu mbele za Mungu ilihali wale binadamu wenzetu tulowakosea mfano Mke au mume tukaacha kuwaomba msamehe na kutengeneza nao.

Ni muhimu sana kufahamu hilo.
 
Af hata sio lazima Mungu amlipie.

Wakati fulani haya mambo hata Mungu hayatazami kama tunavyoyatazama.
Ndo alisema.Kisasi ni changu.
Mungu ana namna yake ya kufanya mambo hata haifanabi na sisi wanadamu.
We wakati unafkr Mungu atamlipa,kumbe mwenzio ameshatengeneza na Muumba wake anaishi katika neema ya Msamaha
So tusiwe tunatarajia sana kuona mateso ya watesi wetu.
Mungu yeye ndo anajua kwa haki hasira aipatilize wapi.

Sio kila ndoa ni mpango wa Mungu.
Sio kila ndoa.lazima iishe na kifo.
Sio kila ndoa lazima ikuletee neema.

Some.of marriages ni njia zetu za kupita kwenda ilipo destiny.
Inahitaji akili Njema sana kuelewa hii.
Unaweza kuwa udhaifu machoni kwa wengine lakin out of it kuna Uimara mkubwa sana.
Mkuu una filosophia kali sana.
Mwanamke ni binadamu , akitaka kula uroda nje huwezi kumzuia.
Usipojua, bora zaidi, ukijua inauma lakini bora kusamehe na kuendelea na safari ya maisha.
 
Katika kisasi chako angalia usije ishia jela, wanawake bado wako wengi Sana....
 
Back
Top Bottom